Hivi mkataba uliosainiwa na Yanga sc "WHIZMO" ni mkataba unayoiingizia timu shilingi ngapi?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Nikiwa Kama mwanachama kindaki ndaki wa Yanga Sc ninayelipa ada ya uanachama kila mwaka ninayohaki ya kujua (kujuzwa) /kuuliza/kuhoji mapato ya timu pale ninapokua sijui.

Hili la Mkataba wa "WHIZMO" limekuja kitofauti nimeona watu wanapaa juu juu uzinduzi wa jezi, @NALIANGWENA nilisubiri maelezo kutoka kwa viongozi kuwa mkataba wa "WHIZMO" umeingiza kiasi gani lakini sikuona Hilo.

Na Mimi mwanayanga lialia nahitaji kujua/kutambua mkataba huu unaingiza shilingi ngapi kwenye timu yangu (Yanga Sc) ?? Kama tulivyowekwa wazi kwenye mkataba wa ZIRA, ZIPA kule zenji na mikataba mengineyo iliyo pita Kama "HAER"

NB: Kama hujui kitu Kama Mimi ni Bora kukaa kimya lakini siyo kuja kwenye Uzi kuporomosha matusi na lugha za kejeli Kama vile kwenu hakuna wakubwa.

Nawasilisha hoja.

1702530648609.jpg
 
Tatizo la viongozi WA timu za kibongo wakiona timu inàfanya vyema wanajua hakuna atakayehoji hivyo Hilo lilipita kimya kimya na wanajua hakuna atakayehoji ndio shida ya viongozi wa hizi timu. Ukitaka kujua hili angalia kuna mwandishi yoyote anahoji huo mkataba Ila timu ingekuwa inàfanya Vibaya na pesa za kuwapa ili wasifie hata ujinga zisingekuwepo ungeona kelele zake.
 
Tatizo la viongozi WA timu za kibongo wakiona timu inàfanya vyema wanajua hakuna atakayehoji hivyo Hilo lilipita kimya kimya na wanajua hakuna atakayehoji ndio shida ya viongozi wa hizi timu.Ukitaka kujua hili angalia kuna mwandishi yoyote anahoji huo mkataba Ila timu ingekuwa inàfanya Vibaya na pesa za kuwapa ili wasifie hata ujinga zisingekuwepo ungeona kelele zake
HATARI SANA MKUU HATA MIMI IMENISHANGAZA.
 
Kama wewe kweli ni mwanachama wa Yanga kwa nini uulize Jamii Sports. Hujui wapi unaweza kupata majibu ya maswali yako? Sina uhakika kama wewe ni mwanachama. Dalili zote zinaonyesha wewe ni upande wa pili.

K
We mwenyewe hujui ndo maana umekuwa mkali, mikataba yote inawekwa wazi kwanini wasikae kimya ili watu wakahoji huko unakokusema wewe, mpira sio mapenzi kwamba ukafanyie chumbani.
 
We mwenyewe hujui ndo maana umekuwa mkali,,,,mikataba yote inawekwa wazi kwanini wasikae kimya ili watu wakahoji huko unakokusema wewe,,,mpira sio mapenzi kwamba ukafanyie chumbani
Huyo jamaa kalewa na ushindi wa goli tano dhidi ya mtani kwa hiyo anaona sawa TU.
 
Nikiwa Kama mwanachama kindaki ndaki wa Yanga Sc ninayelipa ada ya uanachama kila mwaka ninayohaki ya kujua (kujuzwa) /kuuliza/kuhoji mapato ya timu pale ninapokua sijui.

Hili la Mkataba wa "WHIZMO" limekuja kitofauti nimeona watu wanapaa juu juu uzinduzi wa jezi, @NALIANGWENA nilisubiri maelezo kutoka kwa viongozi kuwa mkataba wa "WHIZMO" umeingiza kiasi gani lakini sikuona Hilo.

Na Mimi mwanayanga lialia nahitaji kujua/kutambua mkataba huu unaingiza shilingi ngapi kwenye timu yangu (Yanga Sc) ?? Kama tulivyowekwa wazi kwenye mkataba wa ZIRA, ZIPA kule zenji na mikataba mengineyo iliyo pita Kama "HAER"

NB: Kama hujui kitu Kama Mimi ni Bora kukaa kimya lakini siyo kuja kwenye Uzi kuporomosha matusi na lugha za kejeli Kama vile kwenu hakuna wakubwa.

Nawasilisha hoja.

View attachment 2841978

Moxtraa sijui kiasi gani nao
 
Back
Top Bottom