unatakiwa kuwa na cumulative ya asilimia kumi ya mshahara wako. kwa hivyo, kila mwezi unapaswa kubakiza 10% ya mshahara wako. of course, hii idea ya serving ndo iliyozaa rushwa ya 10%poleni na majukumu ya kutwa wakuu?
nilikua naomba kuuliza,hivi kwa mtu hasa mwanaume aliyeajiriwa iwe serikalini au kwenye private entity anatakiwa kuwa na akiba ya kiasi gani cha Fedha bank?
nimekupata mkuu
kaka huwezi pata jibu la moja kwa moja-maana watu wanatofautiana vipaumbele ktk maisha pia altitude ya watu juu ya mambo ni tofauti.mfano ukikuta mtu ni risk takers au opportunist kutumia hela yote akiwa anajua baada ya muda atapata kitu fulani mtu huyu anaweza asiache hata shs 100 kwenye akount.mfano mtu mwenye income ya 1million..Ana mke na mtoto mmoja anatakiwa kusave ngapi mkuu?
Huta pata jibu sahihi, ila 90% ya wafanyakaz wa kawaida serikalini they don't save maana hata mshahara hautoboi mwisho wa mwezi