Mtu akifa, roho yake huenda wapi?

Mtu akifa, roho yake huenda wapi?

Roho ambayo ndiyo pumzi ama nafsi - hii hutoweka na kwenda kuzimu mara tu baada ya roho kuachana na mwili wako, sisi tukibakia tunahangaika na mwili wako kuuhifadhi ambao kiuhalisia unakuwa hauna thamani yoyote ile.

Nafsi ikiwa huko kuzimu ina uwezo wa kuona kinachoendelea duniani, lakini haitakuwa na uwezo wa ku-intract moja kwa moja na wanadamu, ndiyo maana utasia kuna mzuka wa marehemu aisee si bure maana marehemu alisema hivi wao wameenda tofauti mambo yote yameharibika - huu ni moja ya mfano.
 
Tuliaminishwa roho huenda mbinguni ili tusiogope kifo; ila hatuna tofauti na ng'ombe, mbuzi, mende, kuku, sisimizi, mimea n.k wanapokufa. Kiufupi, unapokufa kila kitu kinaishia pale pale.
 
Back
Top Bottom