einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,684
Swali langu linatutaka tuijadili roho kwa upana wakenmejarib kupitia masomo mbali mbali.....ambayo yameelezeka roho kama nguvu ambayo inamuunganisha Mungu na binadam....kwa ambao wanaamini uwepo wa MUngu huamini kua kuna roho......kuna ulimwengu wa roho....na jarida moja likajarib kufananasha roho na umeme au betr katika redio....kwamba redio inaeza ikawa nzima ila isipokua na power(betri au umeme ) haiwez kutoa sauti...,
swali lang likawa je kama tunaambiwa kuna jehanam na mbingu...je mtu akifa roho yake inaenda wap wakat ikisubiri hukumu ya mwisho kama ambavyo vtabu vtakatifu vnatuaminisha?
Unaposema roho ni nguvu inayomuunganisha Binadam na Mungu.Bado haitoshi kuwa jibu
Ni nguvu ya aina gani?Inafanyaje kazi?
Na ina muunganisha Mtu na Mungu yupi?
Dunia hii kuna dini nyingi na kila dini ina hubiri kuhusu Mungu wake
Lazima tuwe specific
Je kuna Mahusiano yoyote ya kimaumbile au hata kibailojia ndio kati ya mwili na roho?
Tuanzie hapo