Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,846
🤣🤣🤣🤣🙌 itakuwa iliingilia tabata kupitia kunduchianapataje mimba wakati anapenda kwenda buza tu😅
🤣🤣🤣🤣🙌 itakuwa iliingilia tabata kupitia kunduchianapataje mimba wakati anapenda kwenda buza tu😅
Angalia angani huko ndio vast emptinessHebu gusia zaidi kuhusu hiyo emptiness mkuu
🤣🤣Kwanini uandikie mate ilihali wino upo?
We ishi kwanza jua hata jua linachomoza na kuzama maisha lazima yaendelee.subiri ufe utapata jibu Zuri kabsa na shauku yako ya kutaka kujua utaitimiza
🤣🤣Hizi hekaya umezipata wapi?
Hii imekaa vizuri,,,nadhani wewe ni wale wanaomini uwepo wa Mungu lakini sio kwa maana ya kwenda kanisani au misikitini.Binadamu na kila kitu unachokiona ni energy ( nishati) ambayo nishati hii haifi wala kuaribika bali inafanya badiliko la kiumbo tu kwenda kwenye dimension nyingne kimfumo na kimuundo.
Mbegu ikiwekwa chini ya ardhi huonza na kufa kabsa then huchipua katika mfumo mwingne , hili ni badiliko la kiumbo tu.
Maji yanapobadilika kutoka kwenye kimiminika ,mvuke na barafu ni badiliko la kiumbo tu kutoka dimension moja kwenda nyingne.
Mwili wa Binadamu umetengezwa na nishati ya mimea na wanyama tunaokula , na udongo wa ardhi kama mama yao , mtu anapofikia ukomo ( kifo ) anaendelea kuwa kwenye huu mzunguko wa nishati usio kuwa na kikomo ili kufanya maumbile yanayo onekana na ya sio onekana,katika mfumo usio onekana au unao onekana , katika speed na frequency mbalimbali .
Kifo ni njia nzuri sana yakufanya uhai uendelee kuwepo katika maumbile yanayoonekana (physical world) .
Vuta picha ya mbegu isingekua inafukiwa chini na kuoza kabsa ,je kungekuwa na nishati mpya inayozaliwa kwenye ulimwengu wa macho?
Sisi dunia na kila kinacho onekana na kisicho onekana tupo connected pamoja kama nishati mama , hauwezi kusema binadamu ana akili zaidi wakati kinachokupa akili ni kile unachokitumia kutoka humo humo duniani.
Viumbe na mimea inapokufa inasaidia uhai uzidi kuwepo duniani kama kitu kimoja ambacho kipo connected kwa vilivyo hai na vilivyo kufa .
Kifo + uhai = uwepo
Uwepo wa Mungu mwenye tabia za kibinadamu kama hasira wivu na ubaguzi ,na personality kamwe siwezi ku ukubali labda nikubali tu kuunga mkono kundi kubwa la vipofu. Ila uwepo wa nishati kuu ya kuendesha maumbile mbalimbali wala haiitaji wewe uamini ipo ama haipo kwa sababu ata hiyo idea tu tu yakutaka kuamini inatengemea hiyo nishati.Hii imekaa vizuri,,,nadhani wewe ni wale wanaomini uwepo wa Mungu lakini sio kwa maana ya kwenda kanisani au misikitini.
ni kama kabla ya kuzaliwa kwako
haupo tu yaani
mtazamo wa kwamba kuna mahali utaenda kuishi milele hauna mashiko kwangu kwasababu kuishi milele kutachosha haraka labda kama utabadilishwa uwe msukule
Ungenyamaza tuu...ok magufuli alikufa wakaja hao wazuri,je umebadilika Nini? HopelessChato
Sisi dunia na kila kinacho onekana na kisicho onekana tupo connected pamoja kama nishati mama , hauwezi kusema binadamu ana akili zaidi wakati kinachokupa akili ni kile unachokitumia kutoka humo humo duniani.Binadamu na kila kitu unachokiona ni energy ( nishati) ambayo nishati hii haifi wala kuaribika bali inafanya badiliko la kiumbo tu kwenda kwenye dimension nyingne kimfumo na kimuundo.
Mbegu ikiwekwa chini ya ardhi huonza na kufa kabsa then huchipua katika mfumo mwingne , hili ni badiliko la kiumbo tu.
Maji yanapobadilika kutoka kwenye kimiminika ,mvuke na barafu ni badiliko la kiumbo tu kutoka dimension moja kwenda nyingne.
Mwili wa Binadamu umetengezwa na nishati ya mimea na wanyama tunaokula , na udongo wa ardhi kama mama yao , mtu anapofikia ukomo ( kifo ) anaendelea kuwa kwenye huu mzunguko wa nishati usio kuwa na kikomo ili kufanya maumbile yanayo onekana na ya sio onekana,katika mfumo usio onekana au unao onekana , katika speed na frequency mbalimbali .
Kifo ni njia nzuri sana yakufanya uhai uendelee kuwepo katika maumbile yanayoonekana (physical world) .
Vuta picha ya mbegu isingekua inafukiwa chini na kuoza kabsa ,je kungekuwa na nishati mpya inayozaliwa kwenye ulimwengu wa macho?
Sisi dunia na kila kinacho onekana na kisicho onekana tupo connected pamoja kama nishati mama , hauwezi kusema binadamu ana akili zaidi wakati kinachokupa akili ni kile unachokitumia kutoka humo humo duniani.
Viumbe na mimea inapokufa inasaidia uhai uzidi kuwepo duniani kama kitu kimoja ambacho kipo connected kwa vilivyo hai na vilivyo kufa .
Kifo + uhai = uwepo

Kule kwenye hukumu Kuna kujitetea kweliMtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa.
Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.
📌🔨🙏Sisi dunia na kila kinacho onekana na kisicho onekana tupo connected pamoja kama nishati mama , hauwezi kusema binadamu ana akili zaidi wakati kinachokupa akili ni kile unachokitumia kutoka humo humo duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachokufa ni huu mwili uharibikao roho haifiWakristo wanaamini ukifa unakuwa kama umelala. Ila upo ufufuo wa wafu. Wengine kwa ajili ya uzima wa milele. Na wengine kwa ajili ya maangalizi kwa miaka 1000 ili kuona kamw wanastahili uzima wa milele. Wengine hawatafufuliwa kabisa, ndiyo imetoka ukifa.
Kwahiyo Sisi tusioamini tukizinduka tunaenda wapi? Na unazindukaje ni kama unavokurupuka baada ya pombe kuisha auMtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa.
Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.
Majibu kuhusu nini kinachotokea baada ya kifo yanatofautiana sana kulingana na imani za kidini, tamaduni, na mitazamo ya kibinafsi. Hapa kuna maoni ya kawaida kutoka kwa tamaduni na dini tofauti:
1. Dini za Abrahamu (Ukristo, Uislamu, Uyahudi): Mara nyingi, zinaamini kuna maisha baada ya kifo. Katika Ukristo, inafundishwa kwamba roho inaweza kwenda mbinguni au kuzimu kulingana na imani na matendo yako. Katika Uislamu, kuna Siku ya Kiyama ambapo watu watasimamishwa mbele ya Mungu kwa uamuzi.
2. Ubuddha: Katika Ubuddha, inafundishwa kwamba kifo ni sehemu ya mzunguko wa maisha na kifo (samsara). Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea vitendo na akili za mtu wakati wa maisha yao. Lengo ni kuvunja mzunguko huo na kufikia Nirvana.
3. Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.
4. Mitazamo ya Kisekula: Baadhi ya watu wasio na dini au wanaoitwa wasioamini wanaweza kuamini kwamba kifo ni mwisho wa maisha na hakuna maisha baada ya kifo.
Ni muhimu kutambua kuwa hakuna jibu la hakika kuhusu jambo hili, na imani hizi ni sehemu ya tamaduni na dini tofauti. Watu wana imani tofauti, na ni suala la kibinafsi kujua na kufikiria kuhusu jambo hili.
Utazinduka kama ulivyokuwa kabla ya kufa.Kwahiyo Sisi tusioamini tukizinduka tunaenda wapi? Na unazindukaje ni kama unavokurupuka baada ya pombe kuisha au
Kwahiyo utarudi duniani au?Utazinduka kama ulivyokuwa kabla ya kufa.