Mtu akifa anaenda wapi?

Mtu akifa anaenda wapi?

Mimi nahisi ukifa unakwenda kuzaliwa katika familia nyingine Kwa hiyo ni kitendo Cha mzunguko
 
Swali langu ni kuwa:
Mbuzi akifa anaenda wapi?
 
ni kama kabla ya kuzaliwa kwako

haupo tu yaani

mtazamo wa kwamba kuna mahali utaenda kuishi milele hauna mashiko kwangu kwasababu kuishi milele kutachosha haraka labda kama utabadilishwa uwe msukule
Kuishi milele baada ya kufa ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Hakuna uhalisia.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Back
Top Bottom