Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,774
Anakwenda Makao makuu ya ccm
Hivi bado anaendelea kufufua wafu?Kamuulize Gwajima, huwa anawafufua itakuwa wanamwambia wanapokuwa.
nahisi itakuwa hivyo maana hapo ndipo kwenye faida zaidi ya kula pesa za wapumbavu.Hivi bado anaendelea kufufua wafu?
Naramani baadhi ya watu wa re incarnate kama mbwa koko hasa wale viongozi wa serikalini.3. Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.
Majibu kuhusu nini kinachotokea baada ya kifo yanatofautiana sana kulingana na imani za kidini, tamaduni, na mitazamo ya kibinafsi. Hapa kuna maoni ya kawaida kutoka kwa tamaduni na dini tofauti:
1. Dini za Abrahamu (Ukristo, Uislamu, Uyahudi): Mara nyingi, zinaamini kuna maisha baada ya kifo. Katika Ukristo, inafundishwa kwamba roho inaweza kwenda mbinguni au kuzimu kulingana na imani na matendo yako. Katika Uislamu, kuna Siku ya Kiyama ambapo watu watasimamishwa mbele ya Mungu kwa uamuzi.
2. Ubuddha: Katika Ubuddha, inafundishwa kwamba kifo ni sehemu ya mzunguko wa maisha na kifo (samsara). Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea vitendo na akili za mtu wakati wa maisha yao. Lengo ni kuvunja mzunguko huo na kufikia Nirvana.
3. Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.
4. Mitazamo ya Kisekula: Baadhi ya watu wasio na dini au wanaoitwa wasioamini wanaweza kuamini kwamba kifo ni mwisho wa maisha na hakuna maisha baada ya kifo.
Ni muhimu kutambua kuwa hakuna jibu la hakika kuhusu jambo hili, na imani hizi ni sehemu ya tamaduni na dini tofauti. Watu wana imani tofauti, na ni suala la kibinafsi kujua na kufikiria kuhusu jambo hili.
Kabla ya kuzaliwa kwako ulikuwepo ila ukishazaliwa ukavuta pumzi ya duniani unasahau yote ya tumboni. Jaribu kunywa k vant kavu nyingi ukalale kesho uamke kama utakumbuka kituni kama kabla ya kuzaliwa kwako
haupo tu yaani
mtazamo wa kwamba kuna mahali utaenda kuishi milele hauna mashiko kwangu kwasababu kuishi milele kutachosha haraka labda kama utabadilishwa uwe msukule
Kuna mtu wako yoyote wa karibu.... alishakufa.... then akafufuka! Akakueleza haya unayotueleza hapa!?...Mtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa.
Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.
anakwenda alipotoka, sasa usiulize ametoka wapi...Majibu kuhusu nini kinachotokea baada ya kifo yanatofautiana sana kulingana na imani za kidini, tamaduni, na mitazamo ya kibinafsi. Hapa kuna maoni ya kawaida kutoka kwa tamaduni na dini tofauti:
1. Dini za Abrahamu (Ukristo, Uislamu, Uyahudi): Mara nyingi, zinaamini kuna maisha baada ya kifo. Katika Ukristo, inafundishwa kwamba roho inaweza kwenda mbinguni au kuzimu kulingana na imani na matendo yako. Katika Uislamu, kuna Siku ya Kiyama ambapo watu watasimamishwa mbele ya Mungu kwa uamuzi.
2. Ubuddha: Katika Ubuddha, inafundishwa kwamba kifo ni sehemu ya mzunguko wa maisha na kifo (samsara). Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea vitendo na akili za mtu wakati wa maisha yao. Lengo ni kuvunja mzunguko huo na kufikia Nirvana.
3. Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.
4. Mitazamo ya Kisekula: Baadhi ya watu wasio na dini au wanaoitwa wasioamini wanaweza kuamini kwamba kifo ni mwisho wa maisha na hakuna maisha baada ya kifo.
Ni muhimu kutambua kuwa hakuna jibu la hakika kuhusu jambo hili, na imani hizi ni sehemu ya tamaduni na dini tofauti. Watu wana imani tofauti, na ni suala la kibinafsi kujua na kufikiria kuhusu jambo hili.
Hahaha,anakwenda alipotoka, sasa usiulize ametoka wapi...
ACHA UONGO!Mtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa.
Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.
NAKAZIAni kama kabla ya kuzaliwa kwako
haupo tu yaani
Chatgpt ioMkuu umetumia Chatgpt au bard?
Nirvana ni mtu kuwa 'mlokoke'Nirvana ni nini?
KumbeNirvana ni mtu kuwa 'mlokoke'
AsanteTupitie link hii kwa majibu sahii
www.jw.org/sw/ je mtu akifa huenda wapi?