Mtu akifa anaenda wapi?

Mtu akifa anaenda wapi?

Binadamu na kila kitu unachokiona ni energy ( nishati) ambayo nishati hii haifi wala kuaribika bali inafanya badiliko la kiumbo tu kwenda kwenye dimension nyingne kimfumo na kimuundo.

Mbegu ikiwekwa chini ya ardhi huonza na kufa kabsa then huchipua katika mfumo mwingne , hili ni badiliko la kiumbo tu.

Maji yanapobadilika kutoka kwenye kimiminika ,mvuke na barafu ni badiliko la kiumbo tu kutoka dimension moja kwenda nyingne.

Mwili wa Binadamu umetengezwa na nishati ya mimea na wanyama tunaokula , na udongo wa ardhi kama mama yao , mtu anapofikia ukomo ( kifo ) anaendelea kuwa kwenye huu mzunguko wa nishati usio kuwa na kikomo ili kufanya maumbile yanayo onekana na ya sio onekana,katika mfumo usio onekana au unao onekana , katika speed na frequency mbalimbali .

Kifo ni njia nzuri sana yakufanya uhai uendelee kuwepo katika maumbile yanayoonekana (physical world) .

Vuta picha ya mbegu isingekua inafukiwa chini na kuoza kabsa ,je kungekuwa na nishati mpya inayozaliwa kwenye ulimwengu wa macho?

Sisi dunia na kila kinacho onekana na kisicho onekana tupo connected pamoja kama nishati mama , hauwezi kusema binadamu ana akili zaidi wakati kinachokupa akili ni kile unachokitumia kutoka humo humo duniani.

Viumbe na mimea inapokufa inasaidia uhai uzidi kuwepo duniani kama kitu kimoja ambacho kipo connected kwa vilivyo hai na vilivyo kufa .

Kifo + uhai = uwepo
Jamaa ni Kama umeingia akilini mwangu, (ENERGY)
 
1695828242843.jpg
 
Kifo ni utani wa ulimwengu "cosmic jokes".
Swali la mtu akifa anaenda wapi halihitaji jibu nje ya uzefu wa mtu..mfano mtu kuwepo "uwepo wa mtu upo wapi?"au mtu yupo wapi (mwili, nafasi au roho?).

Kujua uwepo ndiyo msingi wa kuelewa kila kitu. Akili ya mwanadamu inafungwa na muda na mahali katika ulimwengu wa vitu "physical realm".Mtu hatawaliwi na vitu "ukweli huu kila mtu huukumbuka anapokuwa kwenye kitanda cha kifo "deathbed"

Nadhani tukianza kwa kujiuliza mtu anapokuwa amelala au ndotoni huwa anakwenda wapi ni njia ya kuanza kuelewa mtu akifa anakwenda wapi?.Usingizi ni zoezi la kifo linalofanywa na viumbe wengi mno. Tukianza hapo tutaliendea jibu pasi na madhaka mengi.

Kujiuliza jambo bila uzoefu ni sawa na kutafuta maarifa ya kisichojulikana "knowledge of unknown". Sifa kubwa ya maarifa yasiyojulikana ni hofu. Tunapotafuta jibu la swali hili Kwa hofu ni dhahiri tutaishia kwenye mashaka na hofu kuu.
 
Binadamu na kila kitu unachokiona ni energy ( nishati) ambayo nishati hii haifi wala kuaribika bali inafanya badiliko la kiumbo tu kwenda kwenye dimension nyingne kimfumo na kimuundo.

Mbegu ikiwekwa chini ya ardhi huonza na kufa kabsa then huchipua katika mfumo mwingne , hili ni badiliko la kiumbo tu.

Maji yanapobadilika kutoka kwenye kimiminika ,mvuke na barafu ni badiliko la kiumbo tu kutoka dimension moja kwenda nyingne.

Mwili wa Binadamu umetengezwa na nishati ya mimea na wanyama tunaokula , na udongo wa ardhi kama mama yao , mtu anapofikia ukomo ( kifo ) anaendelea kuwa kwenye huu mzunguko wa nishati usio kuwa na kikomo ili kufanya maumbile yanayo onekana na ya sio onekana,katika mfumo usio onekana au unao onekana , katika speed na frequency mbalimbali .

Kifo ni njia nzuri sana yakufanya uhai uendelee kuwepo katika maumbile yanayoonekana (physical world) .

Vuta picha ya mbegu isingekua inafukiwa chini na kuoza kabsa ,je kungekuwa na nishati mpya inayozaliwa kwenye ulimwengu wa macho?

Sisi dunia na kila kinacho onekana na kisicho onekana tupo connected pamoja kama nishati mama , hauwezi kusema binadamu ana akili zaidi wakati kinachokupa akili ni kile unachokitumia kutoka humo humo duniani.

Viumbe na mimea inapokufa inasaidia uhai uzidi kuwepo duniani kama kitu kimoja ambacho kipo connected kwa vilivyo hai na vilivyo kufa .

Kifo + uhai = uwepo
Umegusa hizo dimensions/realms vizuri mno
Be blessed..
 
Hii hali labda umeiona katika maisha yako; unaweza kumuona mtoto wa shule ya msingi,labda yupo darasa la tano. Ukawa unafikiria,"Huyu mtoto mara ya kwanza kumuona alikuwa chekechea,na sasa yuko darasa la tano,ina maana huyu mtoto nimemfahamu kwa muda mrefu sana.
Au unaweza kuwa unaishi na demu,unawaza"Huyu demu nilipoanza kuishi naye,ulikuwepo Uchaguzi Mkuu,na sasa kuna Uchaguzi Mkuu mwingine. Ina maana huyu demu nimeishi naye miaka mitano"?
Hii hali ishanipata!!

Unamaanisha nimekufa?
 
First you don't exist at all in this world,

Then you are born and come to existence,Then you live your whole life, Then you die.

Then you go back to non-existence, So this whole Life is just an interruption of not existing.
 
Back
Top Bottom