hivi treni huwa halina breki hadi ionekane kuwa mtu anaigonga. Huu ni upendeleo wa hali ya juu huwezi kusema eti treni linagongwa
bahat yako sina ubavu wa kubisha na wwPole sana Mkuu uliyopoteza maisha mpaka watu wazoee hii treni tumekwisha.
hivi treni huwa halina
breki hadi ionekane kuwa mtu anaigonga. Huu ni upendeleo wa hali ya juu
huwezi kusema eti treni linagongwa
Hi sheria ya mtu kugonga garimoshi is wrong
Tubadirishe huu utaratibu wengi watagonga hili garimoshi.
leo mlevi kesho atakua mtoto wa shule au mtu yeyote yule.
Tuachane na hii 4- 4 -2 haitupeleki kokote watanzania
Serikali au mmiliki wa garimoshi lazima alipe fidia kwa madhara yoyote yale
Once is a mistake,twice is a choice
Pole sana Mkuu uliyopoteza maisha mpaka watu wazoee hii treni tumekwisha.
Kama wewe ndio operator wa train unakuta mtu relini unafanya nini na speed imechanganya na train si kama gari unapiga break unavyotaka?
Duh!Inaonyesha alikuwa amelewa sana aisee!Yaani honi ya treni ilivyokuwa na sauti kubwa vile lakini hakusikia! Pole zake sana lakini sasa aamini kuwa ulevi nomaa!!
Duh!Inaonyesha alikuwa amelewa sana aisee!Yaani honi ya treni ilivyokuwa na sauti kubwa vile lakini hakusikia! Pole zake sana lakini sasa aamini kuwa ulevi nomaa!!
Kwa garimoshi hili la katikati ya mji unataka kuwatetea wahusika mkuu kweli?
Jibu la swali lako ni kwamba ningesimamisha hicho chombo kwasababu hizo hapo chini
1.Kama hujui dereva wa hii kitu anauwezo wa kuona umbali mkubwa angalau mita zisizopungua mia moja
2.Pia wanatakiwa kwenda mwendo wa wastani hapa mjini sababu ya mazingira na wingi wa watu.
3. risk assesments ilikua kwa upande mmoja tu toka kwa dereva wa hiii kitu. Alijali sana abiria wake kuliko uhai wa jamaa katika reli.Hili wanalifanya sana madereva wa vyombo vingi vya usafiri wa barabarani na na majini.Mifano unayo mkuu siwezi weka hapa
ONCE IS A MISTAKE,TWICE IS A CHOICE
Pole sana Mkuu uliyopoteza maisha mpaka watu wazoee hii treni tumekwisha.