Wakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?