Wewe kama mzazi uwe unafatilia mambo ya shule sometimes hata bila yeye kujua.
Hiyo inaepusha sana mianya ya ipigaji.
Mfano hizi selction za form 5 zilivotoka tu na ww ulitakiwa ujiridhishe shule anayoend, mchepuo wake na sifa za shule husika chap kwa haraka ikiwezekana na connection za huko mapema kabisa.
Then unamuacha na yeye apalanganyike kivyake kusaka detail za iyo shule, hapo akija na kizinga uchwara kama hicho ni rahisi kumfutilia mbali.
Okay sasa hapo jibu ni kua kama shuleni kwao kuna hiyo combie anayotaka basi wewe uwasiloane na uongozi wa shule kuona uwezekano wa kubadilisha.
Ukiwa mvivu ukamwachia mwenyewe tegemea vizinga zaidi + nauli ya kwenda dodoma/dar + pesa ya kula njian ili aende ofisi za tamisemi ili akabadilishie huko 😀😀