Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

Kuna kitu kinaitwa funeral behavior watu wanatakiwa kufundishwa kuwa ukifiwa you need to behave yourself.Sio sehemu ya Ku misbehave ile.Taabu wengine wakifiwa hunywa pombe Kali au kuvuta Bangi eti apate steam ya msiba matokeo yake aweza misbehave.Kama kweli kufanya hivyo ita mcost labda asiwe na deal yeyote na serikali au ajira serikalini wataondoka na hiyo video na kuiweka kumbukumbu for years ya Kula naye sahani moja
YEHODAYA, Kumbe kuna serikalini kuna visasi namna hiyo, naanza kuwaogopa watu wa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea utoto wa hali ya juu, kwa hiyo serekali kazi yake ni kufanyizia watu wenye stress zao? Sasa tofauti ya serekali na huyo muhuni iko wapi? Serekali imeshindwa kutoa ajira wala kuongeza mishahara ila muda wa kutunza Mikanda ya watu wasiojipendekeza kwa rais inao ili wawafanyizie. Halafu ww uliyekuja na huu upuuzi ni mtu mwenye elimu yako!! Mkiambiwa kuwa ndio mmepiga Lissu risasi mnatoka mishipa kutaka ushahidi wakati tabia zenu ziko wazi na mnajisahau na kuzikiri hadharani.
Uko sahihi ,huyu kijana elimu ndogo sana
 
Angalia vizuri tukio mubashara la kuaga mwili wa marehemu pale ukumbini. JPM alikuwa wa kwanza. Baada ya kuaga na kusali kidogo, alienda kuwapa Mikono ndugu wa marehemu na baadaye viongozi. Kama umeona vizuri ndugu mmoja mdada hakumaindi kabisa Pole ya JPM na akampa JPM mkono wa kushoto na kumkatia jicho la chuki. Hamkuona wakuu hilo?!?
Nahisi yule Dada mkono wake Wa kulia ulikuwa na mushkeli kiasi Fulani na ndiyo maana aliufunika. Tusikuze mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau wanajeshi wetu walinda amani waliouwawa vitani...
Wamefariki Watu zaidi ya 200 kwa Ajali ya kivuko wameenda Baadhi ya Viongozi(Mkuu wa Nchi hakwenda) , ila Msiba huu Serikali yote iko kanakwamba ni Msiba wa Kitaifa ,CCM Wanafki sana..
 
  • Thanks
Reactions: prs
Nimejifunza kuwa ukiwa mtu wa watu..msiba wako pia utajaa watu.
 
Natumaini mpo salama kabisa

Kuna mengi yakujifunza katika jambo lolote lile ambalo Mungu anaruhusu litokeee.

Ukiacha sifa lukuki ambazo watanzania waliokuwa wanamfahamu huyu kaka wanampa na zile za upande wa kumsoa mimi kwa upande wangu nimejifunza haya.

1.Kuheshimu privacy ya mtu
Napenda kuipongeza hii familia kwa kuweza kuwa na siri yani toka huyu kaka anaumwa sijawahi ona pichake akiwa hospital akiwa ajiwezi wala chochote kinachoashiria ugonjwa, sijajua ni kwa sababu ni wasomi na waliostarabika au ni hulka tu, kiukweli kuna baadhi ya watu wangekuwa na umaarufu wa ruge basi tungeona kila kitu hatua kwa hatua kuanzia anapanda ndege kwenda hospital hadi anakata roho tungeonyeshwa ,picha zote zilizopo kwenye mitandao ni zile za ruge wakati akiwa katika afya na kazi, kwa hili hongereni familia ya prof mutahaba.

Nimependa jinsi ambavyo pia awaja expose picha (uso) za marehemu akiwa ndani ya jeneza.

Wameonyesha ustarabu wa kiwango cha juu mnoo

Kuna mengi ya kujifunza kwangu ni hayo machache

Sijui wengine mmejifunza nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameexpose uso bwana.
 
Mimi nimejifunza kuwa wanaofanya mema kwa moyo wa dhati na sio kiki, huwa hawaandai sherehe na kuzistream live ili tuone wanavyogawa bima za afya au baiskeli kwa walemavu. Watu walioibuka kuelezea walivyoinuliwa na Ruge sijawahi kuona. Mpaka bodaboda aliwasaidia kufungua saccos na kuwachangia 60m 😳😳 Nani alijua yote haya?

Ruge aliishi kikamili yale maandiko ya Mathayo 6:1-4.

“Iweni waangalifu sana kwamba msionyeshe uadilifu wenu mbele ya watu kusudi mwonekane nao; ama sivyo hamtakuwa na thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. 2 Kwa sababu hiyo wakati unapotoa zawadi za rehema, usipige tarumbeta mbele yako, kama vile wanafiki wanavyofanya katika masinagogi na barabarani, ili watukuzwe na watu. Kwa kweli ninawaambia ninyi, Wanapata thawabu yao kwa ukamili. 3 Lakini wewe, unapotoa zawadi za rehema, usiache mkono wako wa kushoto ujue lile ambalo mkono wako wa kuume unafanya, 4 ili zawadi zako za rehema zitolewe katika siri; ndipo Baba yako anayetazama akiwa mahali pa siri atakulipa.
 
Mkurugenzi wa vipindi na uendeshaji wa Clouds aliyefariki dunia hivi karibuni anatoa funzo kubwa sana kwa vijana. Funzo hilo ni kutengeneza network halisi katika maisha.

Ruge hakuwa na accounts zenye followers wengi instagram, twitter au kwingineko na badala yake alikiwa na wafuatiliaji halisi katika maisha halisi kupitia yale aliyoyafanya wakati wa uhai wake.

Juzi nilipita katika vijiwe mbalimbali ambapo nilikutana na mijadala mingi kutoka kwa watu wa kawaida wakihoji kwani Ruge ni nani hasa, mbona msiba wake umegusa watu wengi sana hasa viongozi wakuu wa taifa letu?

Nilichojifunza kwenye maisha ya Ruge ni kuwa alitumia muda wake mwingi kufanya mambo ambayo yaliigusa jamii iliyomzunguka moja kwa moja pia alifanya mambo mengi kwa ajili ya taifa lake. Na hili limejidhihirisha katika kipindi hiki akiwa hayupo nasi tena, kwa namna watu walivyoubeba msiba wake kama shujaa.

Ujumbe wangu vijana tuache kuchapisha mambo yasiyoeleweka kwenye mitandao ya kijamii na badala yake tufanye kazi zitakazotuletea followers halisi wenye kuguswa na maisha yetu na michango yetu chanya.

Rest in Peace Ruge your Legacy will remain forever!
 
Mimi sidhani kama alikuwa mtu aliyefanya mambo exceptional sana. Naona utamaduni wa watanzania wa kufuata mkumbo zaidi uki-play part. Na fuata mkumbo imekolezwa zaidi na makundi matatu: vyombo vya habari, wanasisa na wasanii. Haya makundi kwa hapa Tanzania ndiyo yaliyojaa watu wababaishaji na wachumia tumbo lakini cha ajabu ni kuwa jamii ya watanzania inaonekana kuwaamini na kuwakabidhi hatima ya nchi!
 
Hao watoto 5 alishindwaje kuishi na huyo mwanamke (wanawake?) katika maisha binafsi alikuwa na tatizo . Nani ataiga hayo maisha binafsi ? Hongera kwa kazi za kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ni vitu vinavyoenda at par huwezi kuzungumzia kitu kwa upande mmoja huo ni unafiki..
Mara zote watu hutaja yale mazuri aliyopata kufanya deceased one ili watu wajifunze, yale negative hayana haja ya kutajwa kwa lengo la kumhukumu. Mtu akifa ameshakufa na hawezi kupoke au kijibu tuhuma yoyote as we know dead people tell no tells. Ruge has gone for glory!
 
Back
Top Bottom