NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
Labda ana mkono mmoja jamani au huo wa kulia una tatizoNimeliona lakini sio rahisi MTU amfanyie Rais wa nchi kituko kama hicho.
Lazima atakuwa ana matatizo kwenye mkono wa kulia.
Sent using Jamii Forums mobile app