Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

kama unamjua ruge ungeandika kuhusu yeye suburi mbowe afe nae uandike kuhusu yeye!
 
Sisi wa vijijini tunaomba kujulishwa kama Bashite alikuwepo na je alikuja na yule mjeshi wake wa usiku ule? Je alilia kama alivyolia kanisani kwa mchungaji au alikuwa anashukuru kwa kimya kimya? Je, baba yake alisikitika au alifurahi kuona mwanawe atapumua sasa? Naomba majibu tafadhari sisi hatuna ka tivi.
 
whats your point?
Akifa nae apewe heshima na sifa kama Ruge?
Kama uko serious mwimbie Mbowe mapambio mengi wema wake ujulikane na mwambie aguse vijana wengi zaidi..
Hatakufa bali ataishi kwa uwezo wa Mungu ili aweze kuyatenda Makuu ambayo Mwenyenzi Mungu amempangia kuyafanya hapa Duniani.
Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom