Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

Kweli mkuu! Ila ruge alikuwa inspirational kwenye issue za kihuni huku mwenzake Mbowe akipigania haki na usawa kwa wote!! Hilo umeliona? Ruge analaumiwa kwa kula jasho la watu wanyonge ambao Mbowe amekuwa akiwapigania miaka yote! Mambo ni mengi mkuu! Alale kwa amani Ruge Mutahaba!

ya kumwita fisadi EL ashike nchi?? mbowe hajawahi kupigania usawa wa wanyonge nchi hii


kuhusu ruge sema yote, ila ukoo wako wote na vitukuu vyako havitakuja pata heshima ya maziko kama haya!
laumuwa
sasa baki kusikia kuwa ana
 
Kuna kitu kinaitwa funeral behavior watu wanatakiwa kufundishwa kuwa ukifiwa you need to behave yourself.Sio sehemu ya Ku misbehave ile.Taabu wengine wakifiwa hunywa pombe Kali au kuvuta Bangi eti apate steam ya msiba matokeo yake aweza misbehave.Kama kweli kufanya hivyo ita mcost labda asiwe na deal yeyote na serikali au ajira serikalini wataondoka na hiyo video na kuiweka kumbukumbu for years ya Kula naye sahani moja
TAKATAKA.
 
Back
Top Bottom