Mtoto wa rais wa kenya ananipenda

juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto

We mbona sredi zako za kigasho gasho sana?! Wanakufaidi nn wenzio?
POPOBAWA.
 
watakufata wengi sana...
Siyo watoto tu... Hata wazazi wao.. Haitapita wiki kabla ya kuleta uzi ya kuwa umezimikiwa na David Cameron...
We tulia tu..

We mwache tu aje na hizi zake za kike kike
 
Jamani kwa afya ni vizuri bangi uanze kuvuta ukiwa above 30 by age,Pia uwe unakula vizuri!!
 
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto

Rais yupi maana inavyoonekana msichana unayemzungumzia ni tofauti na huyo wa kwenye thread.
 
haukualkwa kenya wewe ulialikwa uingereza kwa mcameroon mwenyew..hujamkubal mtoto wake kwa 7bu anayo **** mbaya.we uc2zuge umedata kwa mcameroon
 
Jamaa atakuwa anajuta kwanini alikurupuka na hii Thread, tumsamehe Bure
 
Lucy_kibaki.jpg
bako.jpg

Ndo wazazi wake hao. She must be beautiful.
 
Lucy_kibaki.jpg
bako.jpg

Ndo wazazi wake hao. She must be beautiful.
duh hawa watu km mizuka vile,nakmbuka niliwaona kwenye movie ya thriller ya mj.
Sometime namkubali jk kwa picha tu hajambo
ningeulizwa popote duniani if these kibakis is my prezident ningesema'noo way i dnt even know where they come from'
watu kaa misukule
 
Back
Top Bottom