Mtoto wa Rais ndani ya Mjengoni!!

Mtoto wa Rais ndani ya Mjengoni!!

attachment.php

mwana amekaa na mzigo wa kagasheki....
 
Riz1: niangalie basi
Magige: haiwezekani
Riz1: haiwezekani vp wakati nimeshakuahidi kwamba ukinipa papuchi namwambia baba amrudishie Kagasheki wizara.!....
Magige: We nae muongo kweli.

Kakamkubwa: Unajua wa2 akili zao na fikra zao fupi kama hii pua.
Bidada: Kwani ww hukulijua hilo mapema.
Kakamkubwa: Basi wataanza maneno eti mm nimechagua kukaa jirani yako nipate kaujotojoto.
Bidada: mpheuuuuuu
 
Riz1: niangalie basi
Magige: haiwezekani
Riz1: haiwezekani vp wakati nimeshakuahidi kwamba ukinipa papuchi namwambia baba amrudishie Kagasheki wizara.!....
Magige: We nae muongo kweli.

Kutokana na uelewa wangu, wabunge wanakaa ki-alphabet, sasa inakuwaje Riziwani Kikwete na Catherine Magige wanakaa pamoja??
 
Riz1: niangalie basi
Magige: haiwezekani
Riz1: haiwezekani vp wakati nimeshakuahidi kwamba ukinipa papuchi namwambia baba amrudishie Kagasheki wizara.!....
Magige: We nae muongo kweli.

Kwikwikwikwi yaani umenichekesha sana.
 
Kutokana na uelewa wangu, wabunge wanakaa ki-alphabet, sasa inakuwaje Riziwani Kikwete na Catherine Magige wanakaa pamoja??
Kwa taarifa yako hao wanaohusika na upangaji wa hizo alphabet wakifika kwa dogo wanamuomba achague kiti anachotaka hata kama ni cha spika!

 
Back
Top Bottom