Mtoto wa Rais ndani ya Mjengoni!!

like a father like a son,,,,
mtoto wa paka ni pusi

Ha ha ha ! Mtoto kama hafanani na wewe (sio sura) tabia uwe na mashaka.
ImageUploadedByJamiiForums1400835558.961817.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hivi ukikutana na Abramovich say Coco hapo kakaa zake na pensi kifua wazi unaweza kusema kama ana mpunga au hana???!!
Mkuu nimewahi kutana na Samwel L Jackson Zanzibar tukapanda wote ndege mpaka Dar huwezi amini ni wazungu tu sisi wabongo wachache ndio tuliomtambua kwa jinsi alivyokuwa katoka simple yeye na washkaji zake wawili.
 
Back
Top Bottom