Namfahamu yule mama wa pale Mlalakuwa na marehemu kaka yao Ayoub. Nitapita pale jioni hii.
Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.
safari_ ni _safari, unataka wasifi wa marehemu utusaidie nini?
Rip julius.
Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.
Marehemu Ayoub hakuwa mwanae wa kuzaa ingawa hiyo isingekuwa sababu ya kutohudhuria msiba ule. Mzee Msekwa amejichanganya sana kimaisha kama tulivyo wengi. Tumwache azike mwanae kwanza.
Sio wakati mzuri kuzungumzia maisha binafisi ya mtu wakati akiwa na majonzi. Huu ni wakati wa kuwafariji wafiwa na kumwomba MUNGU aiweke roho ya marehem JULIUS mahali pema peponi
anawake wengine ambao sio halali?wa mke halali wa Pius msekwa,alifariki mwaka jana.
Mzee Msekwa hajatutendea haki majirani zake wa Mlalakuwa Savei. Hawa watoto wamekulia pale na wameujenga ule mji vizuri tu. Kuhamishia msiba Oyesterbay ni kwa vile mama yao alishafariki. Au anataka akina JK wahudhurie kirahisi? Pearl rudisheni msiba Mlalakuwa.nadhani ungeenda moja kwa moja oyesterbay maana mlalakuwa kutakuwa na ndu watakaoingia leo na kesho kutoka iringa.
Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.
Mzee Msekwa hajatutendea haki majirani zake wa Mlalakuwa Savei. Hawa watoto wamekulia pale na wameujenga ule mji vizuri tu. Kuhamishia msiba Oyerstabay ni kwa vile mama yao alishafariki. Au anataka akina JK wahudhurie kirahisi? Pearl rudisheni msiba Mlalakuwa.

my dia tumejitahidi kwa hali na mali lkn babu kakataa,kina uncle waligoma sana wakasema wanataka msiba uingie japo mlalakuwa zen upelekwe huko obay,kiukweli yeye ni baba jina tu hakuna cha ziada.hatunasababu kumwaangaisha marehem apumzike kwa amani tu.
With due respect, WILDCARD msiba hata ukiwa Moshi unaweza kwenda tu, kwani mpaka uwe jirani ma kwako? Huenda wana sababu zao. Kumbuka ile nyumba alikuwa anaishi mama, sasa hayupo, unadhani nyumba ikiachwa kwa muda ni rahisi kuja kukaa kufanyia msiba humo? Hata hivyo Julius ni mwanae wa kumzaa. Tuacheni siasa jamani, tuwape pole na tushiriki nao.
Hapo penye bluu pamenisikitisha sana. Kuna maswali ninayo ila si muda wake.
Chupaku,With due respect, WILDCARD msiba hata ukiwa Moshi unaweza kwenda tu, kwani mpaka uwe jirani ma kwako? Huenda wana sababu zao. Kumbuka ile nyumba alikuwa anaishi mama, sasa hayupo, unadhani nyumba ikiachwa kwa muda ni rahisi kuja kukaa kufanyia msiba humo? Hata hivyo Julius ni mwanae wa kumzaa. Tuacheni siasa jamani, tuwape pole na tushiriki nao.