Mtoto wa nje ya ndoa...

Mtoto wa nje ya ndoa...

Nimeipenda hiyo fact, na naisupport kwa 100%! Kuna mkubwa wetu kazini kagonga copy mbili nje, me na ke ila wote ukikutana nao huulizi. Wa ndani ya ndoa kufanana nao kazi ngumu, maana wengi wao ni wa baba wa nje ya ndoa
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Nimeipenda hiyo fact, na naisupport kwa 100%! Kuna mkubwa wetu kazini kagonga copy mbili nje, me na ke ila wote ukikutana nao huulizi. Wa ndani ya ndoa kufanana nao kazi ngumu, maana wengi wao ni wa baba wa nje ya ndoa

Mazingira ya kuoa yanakua magumu, kwa hali hii inabidi kuchapa nje ili kupata watoto wako halisi.
 
Kwa hiyo ukitaka mtoto unaefanana nae unatakiwa kupiga nje?

Ha ha ha,

Wajua hii ndio inadhihirisha uwepo wa Mungu.

Kuna Uncle wangu mmoja alipigaga nje lakini mkewe akawa hajui. Maskini alivyofariki mama yake akaja kwenye msiba na mtoto. Haikuhitaji DNA kuweza kumthibitisha yule mtoto, ndugu wa uncle walivyomuona yule mtoto tu hapohapo wakaamuru ichinjwe mbuzi, mtoto akaribishwe kwenye ukoo kwa jinsi alivyofanana na marehemu.

Hata Mjane nae alibaki ameduwaa tu kwa jinsi chata ilivyotoka poa!!
 
mungu anajua kufedhehesha,tena mara nyingi wanaume huzikataa mimba hizo.mtoto akizaliwa linakushuka.tena kama una mke kopi ya nje inaweza kuwa kali kuliko za ndani.
 
Kwa sababu mtoto wa ndani ya ndoa hata akiwa wa nje ya ndoa haijalishi!
 
Ha ha ha,

Wajua hii ndio inadhihirisha uwepo wa Mungu.

Kuna Uncle wangu mmoja alipigaga nje lakini mkewe akawa hajui. Maskini alivyofariki mama yake akaja kwenye msiba na mtoto. Haikuhitaji DNA kuweza kumthibitisha yule mtoto, ndugu wa uncle walivyomuona yule mtoto tu hapohapo wakaamuru ichinjwe mbuzi, mtoto akaribishwe kwenye ukoo kwa jinsi alivyofanana na marehemu.

Hata Mjane nae alibaki ameduwaa tu kwa jinsi chata ilivyotoka poa!!
Hapo lazima utoe macho...........................................
 
mungu anajua kufedhehesha,tena mara nyingi wanaume huzikataa mimba hizo.mtoto akizaliwa linakushuka.tena kama una mke kopi ya nje inaweza kuwa kali kuliko za ndani.
Copy za nje ni balaaa nahisi hao ni watoto halisi kuliko wa ndani.
 
Sijaelewa, mtoto wa nje ya ndoa kwa mama aliyetoka nje ya ndoa au baba aliyetoka nje ya ndoa?
 
Kufanana na Baba AMA mama? Manake hata Ni masuala ya kisayansi
 
Kama kale kakijana ka yule mheshimiwa aliyeimba 'wanawake na maendeleo', kale katoto baba yake mtupu
 
Kufanana na Baba AMA mama? Manake hata Ni masuala ya kisayansi

Mtoto akifanana na mama huwa inakuwa deal, mtoto anakuwa na baba wasio pungua wiki, yaani wababa 7 na wanapangwa kwa ufundi na ustadi mkubwa.
 
Na wote 7 wanamuhudumia!!
 
Ili baba wa mtoto asije kupinga mtoto si wake
 
Mtoto akifanana na mama huwa inakuwa deal, mtoto anakuwa na baba wasio pungua wiki, yaani wababa 7 na wanapangwa kwa ufundi na ustadi mkubwa.

Yaani anaangalia maisha yanaendaje, nani anapesa.
 
Nna ka swali, hivi ni kwa nini watoto wa nje ya ndoa hufanana sana na baba zao?
Yaani ukimuona mtoto tu huna haja ya kuuliza baba yake ni nani, na hukatai jinsi mlivyo fanana.

Hii ni kwa sababu gani?

Kwa sababu katika hali kama hii hapa mzee umajiachia mpaka basi. Mtoto lazima mfanane
ImageUploadedByJamiiForums1394142625.745896.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom