Mtoto wa nje ya ndoa...

Mtoto wa nje ya ndoa...

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Nna ka swali, hivi ni kwa nini watoto wa nje ya ndoa hufanana sana na baba zao?
Yaani ukimuona mtoto tu huna haja ya kuuliza baba yake ni nani, na hukatai jinsi mlivyo fanana.

Hii ni kwa sababu gani?
 
kwasababu ndo baba zao.
 
kwasababu ndo baba zao.

Watoto wa ndani ya ndoa wakati mwingine utasikia, "huyu mtoto kafanana na mama yake kweli" hata kama ni wakiume, lakini akiwa wa nje atafanana na baba yake kama machungwa vile.
 
Nna ka swali, hivi ni kwa nini watoto wa nje ya ndoa hufanana sana na baba zao?
Yaani ukimuona mtoto tu huna haja ya kuuliza baba yake ni nani, na hukatai jinsi mlivyo fanana.

Hii ni kwa sababu gani?

Kinyume chake pia ni sahihi.
Watoto wa ndani ya ndoa wengi wanakua wamesingiziwa!
 
Watoto wa ndani ya ndoa wakati mwingine utasikia, "huyu mtoto kafanana na mama yake kweli" hata kama ni wakiume, lakini akiwa wa nje atafanana na baba yake kama machungwa vile.

wakiwa tumbon huwa wanajindaa kabisa kwamba ni sura ya nan wachukue ili kikinuka tu wasipate shida.. sura za baba zao ndo huwa chaguo lao.
 
Back
Top Bottom