Mtoto wa nje: Sheria inasemaje kuhusu hili?

nectar

Member
Dec 22, 2016
8
9
Je ni haki kutoa matumizi kwa mwanamke uliyezaa naye mtoto, na ameolewa na mtu mwingine? Tena mtu huyo naye huenda anajua mtoto ni wake? Japo anakufanana wewe kwa asilimia 100.

Je sheria inasemaje ukimuhitaji huyo mtoto?
 
unaelewa nn katika msemo 'kitanda hakizai haramu" huyo mtoto si wako kama wataka sheria ikutambue kama baba fikiri pia sheria kukutambua ka mzinifu kwa mke wa mtu na wafaa umlipe fidia mwenye mke.
 
Nadhani hapa unajichanganya. Ulitaka mzazi mwenzio abaki pekee ili ujiendee kuoga huko kila unapopeleka matumizi?? Mbembeleze mwenzio akupe mtoto ukalee mwenyewe la sivyo kama wamepatana na huyo anayekaa naye kwa sasa atakunyoa bila wembe.
Huyo mwanaume mwenzio atahakikisha umelipia chovyo chovyo zote ulizochovyo kwa mkewe. Kila siku, matumizi yatapanda uchumi wako unavyopanda.
Sheria inasema; Mtoto akae na mamake hadi 18 miaka yake ya kuzaliwa. Upo??
 
Je ni haki kutoa matumizi kwa mwanamke uliezaa nae mtoto, na ameolewa na mtu mwingine. Tena mtu uyo nae uwenda anajua mtoto ni wake? Japo anakufanana wewe kwa asilimia 100 je sheria inasemaje ukimuitaji uyo mtoto?
Hapo inabidi mwanamke aamue moja either kumwambia ukweli Hugo Mme kuhusu moto ili mwenye toto alee toto lake au akaushe tum na hakuna cha hela ya matumizi
 
Nadhani hapa unajichanganya. Ulitaka mzazi mwenzio abaki pekee ili ujiendee kuoga huko kila unapopeleka matumizi?? Mbembeleze mwenzio akupe mtoto ukalee mwenyewe la sivyo kama wamepatana na huyo anayekaa naye kwa sasa atakunyoa bila wembe.
Huyo mwanaume mwenzio atahakikisha umelipia chovyo chovyo zote ulizochovyo kwa mkewe. Kila siku, matumizi yatapanda uchumi wako unavyopanda.
Sheria inasema; Mtoto akae na mamake hadi 18 miaka yake ya kuzaliwa. Upo??

Sheria inasema mtoto mwenye umri chini ya miaka saba atakaa na mama yake iwapo mazingira yanaruhusu.

Maana mtoto wa umri huo bado anahitaji ukaribu wa mama.

Akifika miaka saba anaweza kwenda kwa baba iwapo mazingira yataruhusu na mtoto mwenyewe akikubali.

So miaka 18 huyu ni mtu mzima na kwa uzoefu, kama toka akiwa mdogo alikuwa na ukaribu na mama kuliko baba, akifika 18 years atakuwa anakaa kwa mama na hatakuwa na mazoea na baba.

Kimsingi ukishindwa kuwa karibu na mtoto akiwa na umri mdogo, halafu akaja kulelewa na baba mwingine halafu atambue kwamba baba ni fulani, ukija kujitokeza baadaye ukubwani, huwezi kupata kitu zaidi ya fedhea na aibu.

Mnaotelekeza watoto someni alama.

Diamond na Mwana FA ni baadhi ya mifano.
 
Wanawake nyie nao mjiheshimu na kuthamini utu wa mtoto jaman kisa cha kumuangaisha mtoto na wababa wawili kwa wakati mmoja, mnampa shida mbeleni ktk malezi na mapenzi yake juu yenu
 
Sheria inasema mtoto mwenye umri chini ya miaka saba atakaa na mama yake iwapo mazingira yanaruhusu.

Maana mtoto wa umri huo bado anahitaji ukaribu wa mama.

Akifika miaka saba anaweza kwenda kwa baba iwapo mazingira yataruhusu na mtoto mwenyewe akikubali.

So miaka 18 huyu ni mtu mzima na kwa uzoefu, kama toka akiwa mdogo alikuwa na ukaribu na mama kuliko baba, akifika 18 years atakuwa anakaa kwa mama na hatakuwa na mazoea na baba.

Kimsingi ukishindwa kuwa karibu na mtoto akiwa na umri mdogo, halafu akaja kulelewa na baba mwingine halafu atambue kwamba baba ni fulani, ukija kujitokeza baadaye ukubwani, huwezi kupata kitu zaidi ya fedhea na aibu.

Mnaotelekeza watoto someni alama.

Diamond na Mwana FA ni baadhi ya mifano.
Ivi kumbe ata mwana fa naye baba ake km dudu la yuyu
 
Yaan nawaza iyo mchezo haiingii akilini asee, yaan mumeo anajua mtoto ni wake, apo apo kuna mwingine nje eti mtoto ni wake dah

Unashurije?

Adai mtoto au mwanamke amwambie mume ukweli?

Je mtoto akiambiwa ukweli hatamuumiza kisaikolojia?

Huyu mtoa mada kaona nini hadi adai mtoto sasa hivi?

Au mtoto amekuwa mtu sasahivi?
 
Ivi kumbe ata mwana fa naye baba ake km dudu la yuyu

😍 hahahah eti baba yake naye analalamika kwamba Mwana FA hamjali.

Source kubwa ni nadhani baba kushindwa kujenga ukaribu na mtoto.

Na ukaribu hujengwa angali mtoto akiwa mdogo ya miezi hadi 7 years.
 
unaelewa nn katika msemo 'kitanda hakizai haramu" huyo mtoto si wako kama wataka sheria ikutambue kama baba fikiri pia sheria kukutambua ka mzinifu kwa mke wa mtu na wafaa umlipe fidia mwenye mke.
Haki leo ndiyo nimejua maana ya huu msemo kumbe mtoto wa kugongewa pia ni wako? Aisee .....
 
Omba mungu huyo mume asiwe mkurya.Ukaenda kudai mtoto atakugeuza asusa maana mbegu imeota shambani kwake unadai mti ni wako
 
Back
Top Bottom