Mtoto wa Mkulima Baada ya Mgomo wa Mada-kitari

Mtoto wa Mkulima Baada ya Mgomo wa Mada-kitari

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
PindaBK.jpg
Ameanza kunona kidogo.............
 
Akilivua Freemason watanyooka naye!!
 
Hawatanona Mpaka Mtanzania aachiwe huru ndani ya nchi yake

Hawana kabisa uchungu na MTANZANIA watu hawa
 
Hilo kofia mbona linaonekana kama la kike vile, akina dada nielewesheni tafadhali
 
Hakuna cha mtoto wa mkulima hapa, FISADI ndani ya ngozi ya kondoo
 
Nimepata habari kuwa jamaa (mtoto wa mkulima) naye ana ka-ugonjwa fulani ambako tunasubiria govt iwalaghai wananchi wake. Imewekwa kuwa siri but jamaa ni mgonjwa for a while. Ndiyo maana hataki hata kurudi kwenye ubunge.
 
Back
Top Bottom