Mtoto wa Mgimwa amenifikirisha sana

Hivi tunatumia akili au na sisi ni siasa tu. Kama aliuwawa na kuna dalili hizo, unahitaji degree ya sheria kujua mtu yeyote akiuwawa ni lazima ichunguzwe. tutumie akili. Hata kama familia inaumia ni jukumu la serikali kuchunguza.
 

yupo sahihi kabisa,kwani walikuwa wapi hadi waje kusema leo kuhusu kifo cha mgimwa ?
 
Bunge ni muhimili. Hauruhusiwi kuingilia mihimili mingine kama mahakama, utawala, familia za marehemu n.k
 
From my point of view is ;

Huyu dogo ametumika and

He is very lazy from the way he looks even up stairs.

Hao ndo viongozi wetu wa bongo.

Nawasilisha.
 
Huyu mtoto wa marehemu Dr. Mgimwa alinishangaza na kauri ya kuomba swala la baba yake lisijadiliwe bungeni! Huyu alikuwa kiongozi wa kitaifa hata kama ni baba yake mzazi.
 

Baba yako alibeba dhamana ya maisha ya watanzania.? Unatakiwa kuwa jasiri kila mtu ataondoka wakati ukifika. Ni haki kwa vizazi vinavyobaki kutambua Na kuheshimu the values of their departed once.
 
Mbona kwenye kampen alitumia kifo cha babake kupata kura, uyo dogo ameidhalilisha familia yake sana.
 
Mgimwa alikuwa kiongozi mwadilifu na mchapa kazi. Historian yake inajulikana. Ni muhimu kama taifa likafanya uchunguzi kujua hasa kifo chake kilisababishwa na ni ni?! Hii itasaidia mawaziri wajao wasikutwe na haya.yaani inawasaidia waliobaki kufahamu ukweli na kujilinda. Mbona watu wakiuwawa uchunguzi unafanyika na mashtaka yanafunguliwa bila kuwauliza ndugu wanasemaje.
 

Tena naomba unyamaze haya yalitowakuta hamjamaliza.suala ka kumuua mzee wa watu mzalendo wa nchi hii tutaliongea siku nyingine. Shame be upon you
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa ukifanya uchunguzi Ni kupoteza tena pesa ya walipa kodi WA nchi hii. Ccm Na mafisadi ndio walimuua Na Ni kwa sababu alizuia ulaji .period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…