Mtoto wa mfalme wa Thailand sio bure

Mtoto wa mfalme wa Thailand sio bure

Zali la mentali. Kesha pewa rungu. Ngoja aanze ziara atapigiwa saluti sana
 
Umenkumbusha bongo movie flan nliwahi kucheki inaitwa Chaupele. Kuna jamaa ndani ka act kama mtoto wa mfalme aisee shida tupo. Ila swala la bongo movie ni mjadala wa siku nyingine.
 
Back
Top Bottom