Mtoto wa mama Anne Makinda

Mtoto wa mama Anne Makinda

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
NENO.JPG
View attachment 119608
 
Mtoto wa Anna Makinda kwa minajili ya kisiasa ama?
 
Hamis Kigwangala atakuja kufafanua,me mwenyewe sikua najua,nimejua leo kwenye uzi wa @HKigwangala
 
Hear says amezaa na kaka yake wa damu.:confused2:
 
Hii racing mpaka 2015 tutafika na makovu mengi tukiwa tumechoka sana ila lazima tufike na mafunzo tunapata!!!
 
Nimekimbilia nkajua nitakuta bonge la chu** kbe ni fiilikunjombe .. Aaa badilisheni heading ya thread
 
Nimekimbilia nkajua nitakuta bonge la chu** kbe ni fiilikunjombe .. Aaa badilisheni heading ya thread

Pole mkuu hebu sema wewe ulipenda Heading iwe vipi....
 
Mtoto wa Anna Makinda kwa minajili ya kisiasa ama?

kwa mjibu wa hamis kigwangala amesema kangi lugola ni mtoto wa anne makinda, ila ufafanuzi zaidi atupatie mwanzisha post
 
kwa mjibu wa hamis kigwangala amesema kangi lugola ni mtoto wa anne makinda, ila ufafanuzi zaidi atupatie mwanzisha post

Kumeguka na kusambaratika kwa chama chetu muhimu kumefika,maneno ya rais mstaafu alisema kuwa ccm,haita mfia mikononi sasa yanatimiiaa,....magamba oyee.........,lumumba ohyeeeeeeeeee.......
 
kwa mjibu wa hamis kigwangala amesema kangi lugola ni mtoto wa anne makinda, ila ufafanuzi zaidi atupatie mwanzisha post

Naona ujalisoma vizuri badiko la mh soma hapa tena... Kwanza, niseme hapa wazi kwamba, ni mwendawazimu tu ama mtu asiyeelewa mahusiano ya Mhe. Deo Filikunjombe (Mb.) na Mhe. Spika Anne Makinda (Mb.) ama na Mhe. Kangi Lugora (Mb.), atakayepata tabu kuelewa kwa nini watu hawa wamenishambulia kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Deo Filikunjombe ni 'mtoto wa mama' Anne Makinda!

Hapo kwenye Red ndipo utata unapokuja lakina akatufumba kwa kutuwekea hizi alama '.........'
 
Kumbe source ya habari ni yule Mr VITUMBUA? Hebu peleka kwenye jokes hii
 
Back
Top Bottom