Mtoto wa mama Anne Makinda

Mtoto wa mama Anne Makinda

Mhhh!! leo napata vitu vipya Mr VITUMBUA?.....nitarudi badae!!!
 
kumbe huyu mama ndivyo alivyo! nilikuwa sijawahi kumuona kwa ukaribu.
Nalog off
 
Naona ujalisoma vizuri badiko la mh soma hapa tena... Kwanza, niseme hapa wazi kwamba, ni mwendawazimu tu ama mtu asiyeelewa mahusiano ya Mhe. Deo Filikunjombe (Mb.) na Mhe. Spika Anne Makinda (Mb.) ama na Mhe. Kangi Lugora (Mb.), atakayepata tabu kuelewa kwa nini watu hawa wamenishambulia kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Deo Filikunjombe ni 'mtoto wa mama' Anne Makinda!

Hapo kwenye Red ndipo utata unapokuja lakina akatufumba kwa kutuwekea hizi alama '.........'

Hapo sasa umezidi kunichanganya kama nilivyochanganyikiwa kwenye ule uzi wa Mbunge (60) aliyelalamika "mume wangu yule kijana (26) sikumtongoza mie, yeye mwenyewe ndio alinitongoza wa email zake nyingi tuu" yaani ndani ya chama chetu kuna viroja! We acha tuu.
 
Sio wewe tu hata wengine pia ila najua mh atakuja na majibu kwan tumemtag ili atupe majibu alikuwa anamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom