Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

Mtoto wa Aziz kaolewa na nani?
Chizi na Mgeja Chama chao ni Edward Lowassa

Mzee Mwinyi kaenda kum kampan kijana wake


Binti wa Rostam nae ameolewa hivi karibuni lakin Wanasiasa uchwara hawakualikwa
 
2005
Mkuuu YALINIKUTAAAAAAAAA HAYAA
TUMEKODISHIWA SLIPWAY HOTEL NA OFISI

ASBH TUNFUNGUA BOX KUBWA TUKAKUTA NAZI 12 ZIMEOZA

BOX LA PILI TUKAONA KAMA VIATU
WANAOKUMBUKA BOX ZA BORA WANAZOWEKEA VIATU

NIKAKUTA KHANGA MBICHI ZIMEJAA MIPASHOOO

NKAITA MTUMISHI AJE.KUOMBEA MWANAMKE KAGOMA ATAFUNGUA MWEMYEWE

USIKU.MZIMA.ULIOFWATA MALAYA.ZAKO.HAOO.NA.MIE.NAMJIBU MABWANA ZAKOO HAOO YAANI WALILIPA SIKUSABA SIKU YA NNE NKAKIMBIA HOTEL KAMA NILIVYOZALIWA

USIULIZE KILICHOFWATA...FWATA USHAURI NILIOTOA OOOH
Kweli Mkuu! Wanadamu wabaya sana usipomtanguliza Mungu watakutupia mikosi na nuksi
 
Tungempa nchi shughuli hizi zingekuwa ikulu kama awamu ya ile...


hizi zama za kazi tu... huwez kuona hivi vitu ikulu... yeye mwenyewe kaoa kwa mirinda na pepsi tu chuo
Ndiyo maana anataka watu watu waishi kama mashetani? Huo ni ushamba tu unasumbua.
 
Back
Top Bottom