Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

nistdanavigator

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
867
1,000
Sherehe ilifana sana viongozi kiba wahudhuria akiwemo rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi.

VIONGOZI mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi wamepamba harusi ya Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Robert Lowassa na mkewe Stephanie Kaaya.
F1C00259-A2EA-458E-B484-06B81CACEFB2.jpeg
45F12A7C-6CF6-42F7-B988-5DF575C6BBDD.jpeg
C6AA40BC-3F2E-4276-92B6-74F595AFB851.jpeg
87622FD0-BE35-42D7-985F-DCC5A59A72DB.jpeg
DD6B2A53-505D-49A8-8552-04FFC96F5404.jpeg
EE18166D-4946-4E76-A7FF-B0B6207D4075.jpeg
IMG_20190716_110854.jpg
 

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,525
2,000
Washauri wasali KABLA ya KUFUNGUA ZAWADI ZAOO HAPO KUN AMA X BALA WANAKYZAWADIA NAZI MBOVU KHANGA MBICHI UKIIIIIIIIFUNGUAAAA...MNALO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom