mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wanna Jf,
Kumekuwepo malumbano mengi kwenye familia na manunguniko juu ya uzao wa watoto wakati. Watoto wengi wa kati au mwisho tukichukua DNA Zao huenda familia nyingi zitapalanganyika. Kwa hivi sasa kifaa hiki kimeleta misukosuko Sana kwenye familia kutokana na wamama wengi kuchepuka na kupata mimba za nje ya ndoa A.K.A. kitanda akizai haramu.
Sababu za kuchepuka nyingi ni za makusudi
Wengine wanapenda kuweka kumbukumbu za wapenzi wao wa zama I.
Wengine wanakwepa magonjwa ya kuridhi kama pumu kifua Kikuu na n.k.
Wengine utafuta uzao wa familia zenye akili nyingi ili ziinue zilizolala.
Wengine kulipiza kisasi kwa mme aliyechepuka.
Wakina baba wazamani kwa kulitambua hilo huwa awapigi kelele Bali huwaita majina Fulani ya ajabu kufuatana na tukio. Wengi huwafananisha sana na familia yao ya zamani kama mjomba shangazi n.k.
Je wakina mama mko sahihi kiasi hiki kwa mnayotufanyia kwa yaliyotajwa?