Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

We acha tu ndugu, hawa viumbe wanatusababishia disappointment kubwa sana, ukiweza kustabilize bila madhara makubwa shukuru Mungu. Ila naamini wengi wanatumiwa na ibilisi kuvuruga uzao wa kiume
Unajua kabla sijaingia kwenye mahusiano nilijua ni raha tu mkuu..

Yaani nikagundua kama ukilipenda li mwanamke usilionyeshe ndgu....likijua kuwa unalipenda litakutesa mno.

Mimi ninalo limoja ninalipenda kweli ila mpaka leo halijui ndo maana sina stress...halafu ukiona umeshindwa kabisa nakushauri jaribu kuwa na wawili hivi kama alternative...linaweza kukuacha ghafula ukaumia mpaka unakufa.

In short usimtegemee sana mwanamke uliyenaye .

ASANTE
 
kama mwakasege anamtumikia Mungu wa kweli dhihaka zako hazitakuacha bure,maana Mungu mwenyewe anasema msiwaguse masihi/watumishi wangu,pona yako ni kutubu
Analo "dhehebu" la kijanjajanja...ana akili sana. Sadaka anakusanya, mafungu ya kumi anakusanya, utasemaje kuwa hana dhehebu lake binafsi? Semina zake ndio ibada zake, amecheza na akili tu ili asigombane na Lutheran lakini analo kanisa lake linaitwa Mana Ministry!
 
Naona sasa nafsi itakuwa inakusuta sana kwa kumsababishia kifo kutokana na msongo wa mawazo
Pamoja na jamaa kukupenda kote kukubali kumlea mtoto wako uliezaa na jamaa aliyekukimbia bado ukamuona boya???
Huku upo nae huku ametangaza ndoa huku unaenda kutoka na danga la kizungu??
Na bila haya now umeweka picha ya kuomboleza kwa dp yako whatsapp wakat unajua fika stress za kukufumania ndio chanzo cha kufa
Utakuja kufa vibaya wewe bila kufunga mdomo
Duuu Lilian huyu sio ?
 
Unajua kabla sijaingia kwenye mahusiano nilijua ni raha tu mkuu..

Yaani nikagundua kama ukilipenda li mwanamke usilionyeshe ndgu....likijua kuwa unalipenda litakutesa mno.

Mimi ninalo limoja ninalipenda kweli ila mpaka leo halijui ndo maana sina stress...halafu ukiona umeshindwa kabisa nakushauri jaribu kuwa na wawili hivi kama alternative...linaweza kukuacha ghafula ukaumia mpaka unakufa.

In short usimtegemee sana mwanamke uliyenaye .

ASANTE
Ahaaaahaaa ...cheeers!
 
1539594773054.png

Ok
 
Mapenzi yasikie kwa mwenzio.

Kuna kisa kinataka kufanana na hiki isipokuwa mama mzazi wa mwanaume alisimama kidete kuhakikisha mwanae anamuacha huyo mschana na hatimaye kijan akajakuoa mschana mwingine.

May his soul rest in peace.

Ahukumuye ni Mungu pekeyake maana ndo anajua ukweli wa mambo, tusihukumu maana nasi tutahukumiwa.

Pole kwa familia ya Mwakasege.
 
Kumtumikia Mungu ni sawa na kutangaza vita. Vita dhidi ya mfalme wa giza na mawakala wake. Katika kuhofia kushindwa, shetani hujiinua, na kuanza uchonganishi, kwa lengo la kuharibu uhusiano Kati ya Mungu na mwanadamu Ay. 1:9 , Ay. 1:11. Hivyobasi kutokana fitna hizo , wakati mwingine Mungu huruhusu shetani kuleta majaribu ili tuu akapate pia kumpima mwanadamu Imani yake kwake. Ay.1:12.
Amina
 
Analo "dhehebu" la kijanjajanja...ana akili sana. Sadaka anakusanya, mafungu ya kumi anakusanya, utasemaje kuwa hana dhehebu lake binafsi? Semina zake ndio ibada zake, amecheza na akili tu ili asigombane na Lutheran lakini analo kanisa lake linaitwa Mana Ministry!
Maana ya Ministry ni Huduma, huduma sio kanisa mkuu usichanganye mambo au wewe ni muislamu halafu unataka uelezee mambo ya wakistro
 
Back
Top Bottom