Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

Haha..anafanya mzaha na nguvu ya kitumbua, yeye anafikiri wanaume kinachowaumiza hasa ni nini. Kuna watu wanakuwa wamefanya uwekezaji wa maana, gari, nyumba halafu umkute yupo na njemba nyingine lazima udate
?
 
Naona sasa nafsi itakuwa inakusuta sana kwa kumsababishia kifo kutokana na msongo wa mawazo
Pamoja na jamaa kukupenda kote kukubali kumlea mtoto wako uliezaa na jamaa aliyekukimbia bado ukamuona boya???
Huku upo nae huku ametangaza ndoa huku unaenda kutoka na danga la kizungu??
Na bila haya now umeweka picha ya kuomboleza kwa dp yako whatsapp wakat unajua fika stress za kukufumania ndio chanzo cha kufa
Utakuja kufa vibaya wewe bila kufunga mdomo
Tobaaaaaaaaaaah
 
Mmm,pole zake Mwl.Mwakasege na R.I.P Joshua.

Ila naomba msaada mkuu, kama unaweza.Wachungaji na Waalimu huwa wanatuambia kwamba mtu akifariki amemaliza kazi,je,Joshua amemaliza kazi ambayo Mungu alimuitia?Mbona mapema sana,na Mungu ameahidi kwamba wateula wake watashiba siku?Nini kimetokea.Na je,Mwalimu Mwakasege si anaombea wengine,ilikuwaje ashindwe kumuombea mwanae au hata kumuweka kwenye mikono ya Mungu kila wakati mpaka afikie hatua ya kufariki dunia,tena at such a young age?Na je Joshua alikuwa kaokoka?Kama hajaokoka why,ikiwa baba yake anashuhudia wengine wanaokoka,
ameshindwaje kumshuhudia mwanae aokoke?In short I am lost.
amshuhudie mwanae aokoke? kwani yeye ameokoka? kutoka wapi?
 
Mathayo 5:4 BHN

Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa.

Zaburi 34:18 BHN

Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.

Wafilipi 3:20-21 BHN

Lakini sisi ni raia wa mbinguni, na twatazamia kwa hamu kubwa Mwokozi aje kutoka mbinguni, Bwana Yesu Kristo. Yeye ataibadili miili yetu dhaifu na kuifanya ifanane na mwili wake mtukufu, kwa nguvu ile ambayo kwayo anaweza kuviweka vitu vyote chini ya utawala wake.
 
kuna siku mtakuja kufumbuka macho mtakapojua mlikuwa mnalishwa matangopori. lakini haina shida, endeleeni kuna siku mtafika.
Mkuu fafanua vizuri hili kwa faida ya wengi.

Pia utuambie kwanini Mwakasege haamini ubatizo wa maji mengi.
 
kuna siku mtakuja kufumbuka macho mtakapojua mlikuwa mnalishwa matangopori. lakini haina shida, endeleeni kuna siku mtafika.
Wewe shupaza shingo tu,hivi ukifika huko ukamkuta itakuwaje?Siwezi kui-magine .Ndugu,you better believe,you do not loose anything, after all you lead a safe and respectable life here on Earth.

Ni kiburi cha uzima tu kinakusumbua,hamna lolote.
 
we are not here to believe everything or everybody. I like the way he's dedicated to preach and teach, though sikubaliani na mambo yake meeengi. akifundisha kuhusiana na mambo ya uchumi n.k, yupo vizuri sana, ni mwanauchumi mzuri sana. but akija mambo ya kiroho, nipo selective kwake kwasababu moja kuu, havui samaki, analisha samaki halafu anawaacha palepale kwenye hatari. kwahiyo anatwanga maji kwenye kinu. maana halisi ya wokovu ni kuondoka kujitenga na uovu, na kujitenga na waovu. sio kwamba uondoke moja kwa moja, tutakuwa nao mtaani, tutakula nao, tunafanya nao kazi, ila kwa habari ya wokovu/imani, lazima ujiunge na watu wenye imani sawa na yako ndio utafanikiwa na kubadilisha. ubarikiwe.
 
Sijui kama kuna faraja ya kutosha kwa ajili ya mama yake mzazi.

Kifo ni kibaya.
 
Depression zinaua sana walokole
Nadhani hatuko sahihi. Kafa kwa depression au? Mbona kifo chake cha kawaida sana? Vifo vya ghafla vyote vitakuwa depression? Mbona kuna causes nyingi za sudden death, kwanini iwe depression? Actually depression haiwezi sababisha kifo cha ghafla, ni gradual process.
 
Kwani nimemsema yeye mkuu??
 
Back
Top Bottom