Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,177
- 2,361
Kweli kabisa mkuu hata mi nimejiuliza ivo ivo kwamba huo muda wa kufatilia hao watu mpaka analeta thread humu katoa wapi vitu vingine mnatufanya tuone kama mnashabiakia mambo yasio faaaMwanaume unatoa wapi muda wa kuwajua hao wote?
Pambana na hali yako!