Mtoto wa kiume ,chukua hii

Mtoto wa kiume ,chukua hii

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,427
Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga.

Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi

Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio, tunayaona kupitia mitandao ya kijamaa, na wanatuonesha.

Ila kama mwanaume utakiwa kuwa Inspired na hao watu kabisa..

Mimi nipo Inspired na yule tajiri ya wakihaya Mulokozi, alafu kuna huyu Criss , yule anauza vitu used kwenye minada, jamaa limejipata..

Kazi ni kipimo cha utu.. we are proud
 
Unakuta mwanaume kafollow account ya shoga huko instagram na anadaka slogans mbalimbali za huyo shoga anazileta mtaani
 
Huyo ni wewe unamfuatilia yule chokoGod nani sijui
 
ChokoGod love sijui mnajua wenyewe mwanaume unajiitaje love km siouchoko nini
Mi simjui huyo mnajuana nae nyie mnaokua inspired na machoko ndo dalili ya kuanza kuleft grp hiyo badilika
 
Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga.

Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi

Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio, tunayaona kupitia mitandao ya kijamaa, na wanatuonesha.

Ila kama mwanaume utakiwa kuwa Inspired na hao watu kabisa..

Mimi nipo Inspired na yule tajiri ya wakihaya Mulokozi, alafu kuna huyu Criss , yule anauza vitu used kwenye minada, jamaa limejipata..

Kazi ni kipimo cha utu.. we are proud
Hivi ile minada ya kweli au mi naona kama utapeli. Jamaa smart TV nchi 50 linauza 300k, laptops elfu 50 laki laki sio powa..
 
Back
Top Bottom