Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

cc: murutongore hebu nisaidie kitu kimoja mtani, soma mtiririko huu halafu uniambie what's this guy's problem.

Mzee wa ki-tutsi akuombe msamaha wewe? You can't be serious.

kwani vipi mkuu? watutsi hawaombagi msamaha? au hawaombagi msamaha kwa non-tutsis?

Jean-Marie what's your fixation with Tutsi? Kwa nini unapenda kuwafuatilia sana hawa kabila dogo tu barani Afrika? Embu tueleze tukuelewe.
Commanche seriously unajiadhiri hadharani, mtiririko wa maswali na majibu uko wazi for everyone to see. ...jean-marie runiga.
 
Last edited by a moderator:
cc: murutongore hebu nisaidie kitu kimoja mtani, soma mtiririko huu halafu uniambie what's this guy's problem.

Commanche seriously unajiadhiri hadharani, mtiririko wa maswali na majibu uko wazi for everyone to see. ...jean-marie runiga.

jMali maswali yako ya dhana za kibaguzi dhidi ya Tutsi.
 
tumefikaje huko? swali ni kwa nini unasema mzee wa kitutsi hawezi kumuomba msamaha mbongo? wewe ndio ujibu dhana yako ya tutsi-superiority over the rest of us non-tutsis. Everytime unapoulizwa maswali magumu huwa unakwepa mjadala.
 
jMali umekuwa ukitumiwa na FDLR kueneza chuki na propaganda dhidi ya Tutsi hapa jamvini.
 
sawa, hata huko Rwanda wapinzani wote wanafadhiliwa na FDLR vile vile, hata kikwete magazeti yenu yanasema anawafadhili FDLR vile vile.....sasa rudi kwenye swali la msingi ambalo ni statement yako hii: "Mzee wa ki-tutsi akuombe msamaha wewe? You can't be serious." explain hii kitu in red.
 
Anyway ngoja nikurahisishie my extremist Hutu friend. Ni hivi;kwanza ki-Afrika, mzee huwa hamuombi msamaha kijana. Pili mzee wa kiafrika hawezi kwenda kumuomba msamaha mchumba wa binti yake. Umeelewa?
 
"Mzee wa ki-tutsi akuombe msamaha wewe? You can't be serious."

Alaah! sasa cha ajabu nini? Anael alisema mchumba wake ni m-tutsi,so the father must be tutsi.

Acha kuzuga your tutsi-extremism had seeped through, na kila mtu anayewafahamu anajua what you meant by that sentence. Rudi tena kwenye hiyo comment yako, halafu angalia how many other people wanashangaa hiyo statement yako apart from me. Je na hao wote waliokushangaa ni "FDLR" kama mimi?
 
Hahaha so now you can read my mind? acha inferiority complex ndugu yangu...but anyway this is not new with FDLR and their sympathizers. Umeuliza maana nimekwambia maana lakini naona sasa unaleta spinning. Ok.
 
kwani ngumu basi kuwasoma nyinyi? hapo najua hutaki kuamini kuwa mzee wa kitutsi kaomba msamaha, ndio maana ukasisitiza mzee wa kitutsi.
 
Acha kuzuga your tutsi-extremism had seeped through, na kila mtu anayewafahamu anajua what you meant by that sentence. Rudi tena kwenye hiyo comment yako, halafu angalia how many other people wanashangaa hiyo statement yako apart from me. Je na hao wote waliokushangaa ni "FDLR" kama mimi?
Kwanini unapenda ku generalize...? Mbona kakujibu kwanini una skip jibu lake.
 
Mkuu huyu jmali has some pre-conceived notions about Tutsi. Toka ameachwa na binti wa ki-Tutsi amepagawa. Hapa mlolongo unajieleza wazi lakini analazimisha kila anachotaka yeye. Ha ha ha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom