Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Nilokuwa nimesafiri kwenda kijijini kwetu. Mtandao ulikuwa haupatikani. Leo nimeingia kwenye jiji la mihangaiko.

Nadhani mtakumbuka mashariti ya wazazi wa mtoto wa kitusi yalivyo nishinda na kuamua kumwaga manyanga.

Wiki iliyopita alikuja nyumbani kwetu kijijini akiwa na baba yake. Aisee mtoto kapungua kabisa.

Aliponiona alimwaga machozi na kunikimbilia.

Kwaufupi wameomba msamaha na kusema hayo yote waliyoyasema hayatakaa yatokee.

Sikuwajibu chochote na tunategemea mwezi ujao tukakutane kwenye kikao na wazazi wangu.

Wana JF nifanye nini sasa hapa?
 
Topic zingine jamani majanga nadhani kidot com zaidi.
 
Hueleweki kwanza na unachokiongea hata haihitaji ushauri sema umekuja kutujulisha tu.
 
Talk with your heart, hope it's where you'll have the best answer.
 
Kwa jinsi walivyo kuja naona ni msamehe tu. Hakuna binadamu aliyekamilika.
 
Nilokuwa nimesafiri kwenda
kijijini kwetu. Mtandao ulikuwa haupatikani. Leo nimeingia kwenye jiji
la mihangaiko.

Nadhani mtakumbuka mashariti ya wazazi wa mtoto wa kitusi yalivyo
nishinda na kuamua kumwaga manyanga.

Wiki iliyopita alikuja nyumbani kwetu kijijini akiwa na baba yake. Aise
mtoto kapungua kabisa!! Aliponiona alimwaga machozi na kunikimbilia.

Kwaufupi wameomba msamaha na kusema hayo yote waliyoyasema hayatakaa
yatokee. Sikuwajibu chochote na tunategemea mwezi ujao tukakutane kwenye
kikao na wazazi wangu.

Wana jf nifanye nn sasa hapa?

what happended be4? ueleweki ndugu msamaha wa nn?
 
mkuu mtoto alipokuona kakumbilia ka kaona tunda la uzma..... mpe nafasi
 
Hii ni moja ya ID ambayo moderators wanapaswa kuichunguza...

Mark my words!!!
 
Hii ni moja ya ID ambayo moderators wanapaswa kuichunguza...

Mark my words!!!

Utasumbuka sana kufuatilia watu ndugu yangu. Ishi kwa amani acha kujiona wewe ni mwema kuliko wote.

Sijui unajifikiriaje kujiona wewe ID yako ni bora kuliko ya wengine?

Unamatatizo gani? Freedom of you heart will set you free.
Usijione bora kuliko wenzako. Plz nakuheshi japo kuwa sikujui.

I new it utakuja na ngojera hizi.
 
yani ningeambiwa nikuchagulie pacha humu ndani ningekuchagulia kasinde....
 
Relax mzee wa migegedo, what's up with all the masquerades?

Utasumbuka sana kufuatilia watu ndugu yangu. Ishi kwa amani acha kujiona wewe ni mwema kuliko wote.

Sijui unajifikiriaje kujiona wewe ID yako ni bora kuliko ya wengine?

Unamatatizo gani? Freedom of you heart will set you free.
Usijione bora kuliko wenzako. Plz nakuheshi japo kuwa sikujui.

I new it utakuja na ngojera hizi.
 
Relax mzee wa migegedo, what's up with all the masquerades?

This is just social media. You cannot judge the IDs of other. Sio vizuri bro.
Hapo sawa sasa kunipa hiyo sifa. Poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom