Eh?- Awe na makalio makubwa yasivunje rekodi yaani yawe dizaini ya kijungu fulani. yakitokeza sana ni sifa ya ziada
- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada
mambo hayo!
Wakati watu wamegubikwa na simanzi kuhusu hatma ya nchi..kuna wengine hawana hata habari wanajinafasi tu kwa raha zao!
Haya wenye sifa- tajwa changamkieni tenda hiyo.
awe mshiriki mzuri katika mechi zote za ndani
Nakutakia mafanikio sana kaka.... ilikuwa ni remark tu.Bibie hujaitwa huku kama simanzi kuna mahala pake pa kuzionyesha, tafadhali usinifukuzie mawindo....
Nakutakia mafanikio sana kaka.... ilikuwa ni remark tu. Nitakutumia contacts za wawili wenye hizo sifa ia sijui kuhusu tabia.
mie ninae mwandani wangu tayari.... sihitaji kaka.....Dada WOS wee jitose kama sifa zina karaibia!
- Elimu inategemea na sifa za hapo juu, hata kama amemaliza darasa la saba sio tatizo,
Olalalalaaaah mzee wa tiGo huyu! Anazuga tu
Taib sheikh..hawa ndio wachimba choo wenyewe..lol
Hadith za wachimba vyoo zinanikumbusha mnamo mwaka ulopita kuna siku natoka jobu nakutana na bwana mdogo mmoja ..anaanza kurahirahi. Ikabidi nimpeleke kwenye grosari ya karibu aoshe koo lake ili anieleze vyema yepi yalomsibu. Kijana anaanza kutoa mchozi. Namuuliza kulikoni only to the saddest and disgusting of the stories kujua kuwa his manhood imepata infection, na further akadai hana ela kwani daktari amemwambia inabidi apigwe bomba kusafishwa. Niliposikia tu hivyo nikajua ni walewale.
The bottom line ni kuwa lets obey the nature..and don"t try to get xtra clever..