ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,460
Cha msingi ni uwezo wa kubeba mzigo uliopewa. Kufikiri kuwa mtoto wa mlalahoi anastahili kuchaguliwa kuliko mtoto wa Kiongozi au tajiri au ....ni UBAGUZI kama ubaguzi mwingine wowote ikiwemo ubaguzi wa rangi.
Kibaya ni kumchagua mtu kwa sababu tu ni mtoto wa mkubwa,..lakini awe mtoto wa mkubwa au mdogo kama anafaa...why not?
Hawa watoto wangepimwa uwezo wa kuelewa mambo ( IQ) nafikiri kuna hata wenye mtindio wa ubongo wamepitishwa eti viongozi wa taifa lijalo sijui la nani wakati CCM inakufa 2015 ... ha ha ha