MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
kila la kheri Mbu...Mungu akujaalie mke mwema..hebu anza kuchombeza kwa MwanajamiiOne plz...
...Dada'ngu Nyamayao, kwa ufupi...nimeghairi wazo hili baada ya kupata maoni ya kutosha jana.
I will go for the 2nd Option...(Mke), then tutapojaaliwa mtoto, yeyote ...Awe wa kike/kiume/ mapacha haya.
Umeamua uamuzi wa busara sana kaka yangu na mimi naamini mungu ameshasikia maombi yako na utapata mtoto wa kike. Usiudharau ushauri wa nyamayao kuhusu MJ1 tangaza nia bana jf tuselebuke
Utafahamuje kuwa mtoto atakayezaliwa atakuwa wa kike?
Nimefanya vizuri kuufatilia huu mjadala hadi mwisho kabla sijatoa mawazo yangu. Ukweli kisayansi mengi, kama sio yote, yanawezekana, likiwemo hilo la kuchagua jinsia ya mtoto kabla ya kutunga mimba. Ukiwa na pesa unaweza kumlipa mdada akakulelea hiyo mimba na mtoto kuzaliwa na huyo mdada msijuane tena. LAKINI, kitu ambacho sayansi wala pesa haviwezi kufanya ni kununua mapenzi na mtoto anahitaji mapenzi na ukaribu wa wazazi wake, hasa MAMA...
...Kila la heri.
Umeamua uamuzi wa busara sana kaka yangu na mimi naamini mungu ameshasikia maombi yako na utapata mtoto wa kike. Usiudharau ushauri wa nyamayao kuhusu MJ1 tangaza nia bana jf tuselebuke
nadhani itahudhuriwa na members wote...hahaha..jokes aside, kaka Mbu...fanyia kazi ushauri wangu plz..
...dah, Nyamayao nipo mbioni kutekeleza ushauri wako kwa vitendo.
Tafadhali usiwaambie watu kwanza. kwanza tuhakikishe 'kinacholimwa na kuvunwa kinauzika' au la! LOL!
Shushhhhh unaufanyia kazi ushauri wa nyamayao.............................unaangalia kama kinauzika ?? Hapana tizama kama kinanunulika maana si wajua uzuri wa mkakasi,........................lol.
I must confess! I love little girls. They are so adorable. But I can't discriminate.
duh, hakuna dhambi kama hiyo bro.
How can One discriminate his/her own blood?
My wish was to balance, a boy and a girl
Lakini haikuwa, maisha yanasonga...
duh, hakuna dhambi kama hiyo bro.
How can One discriminate his/her own blood?
My wish was to balance, a boy and a girl
Lakini haikuwa, maisha yanasonga...
Hili sredi sijui limenipitaje afu limekimbia kwa kasi sana.
Kuna mtu anayeweza kufafanulia kwa muhtasari, huyu Moskwito hapa anazungumzia nini?
Ohooooohhhhh (hapa weka swaga la Mama G wa kinaijeria) .........haya mama you never know pengine weye ndo mtume ulotumwa na MUNGU tusianze kukupiga mawe.......................Sa sijui utantoa kwa Baba Chanja wangu?MwanajamiiOne...Mbu ameshadilisha mawazo, anataka mke, apate mtoto wa kike/kiume ye yupo poa kwasasa, sasa mie ntakesha nikisali yatokee ya kutokea (Mbu/Mj1)..bado naendelea kupiga maombi.
... e bana wee!
nitakuwekea mwenyewe in a nut shell!
Jana nilipaliwa na kikohozi nilichokihifadhi miaka mingi kifuani!
Ni hivi,
Kwakuwa ni miaka mingi nipo nje ya ndoa
niliuliza waungwana humu iwapo ni busara nitafute mdada mrembo anizalie
kabinti kazuri kama mama yake kwa masharti ya mimi nikachukue katoto, mama mtu aendelee na maisha yake.
Anyway, penye mengi hapaharibiki neno,
watu wazima walikuja na mifano hai na rai za namna kwa namna hatimaye nikamlaani shetani.
Nimeamua kuachana na "ushweitani" huo, sasa najifikiria kutangaza nia kwa mrembo fulani labda atanijaalia ndoto yangu.
Mjadala ndipo ulipoishia.
... e bana wee!
nitakuwekea mwenyewe in a nut shell!
Jana nilipaliwa na kikohozi nilichokihifadhi miaka mingi kifuani!
Ni hivi,
Kwakuwa ni miaka mingi nipo nje ya ndoa
niliuliza waungwana humu iwapo ni busara nitafute mdada mrembo anizalie
kabinti kazuri kama mama yake kwa masharti ya mimi nikachukue katoto, mama mtu aendelee na maisha yake.
Anyway, penye mengi hapaharibiki neno,
watu wazima walikuja na mifano hai na rai za namna kwa namna hatimaye nikamlaani shetani.
Nimeamua kuachana na "ushweitani" huo, sasa najifikiria kutangaza nia kwa mrembo fulani labda atanijaalia ndoto yangu.
Mjadala ndipo ulipoishia.
Yaani nakwambia ukipata katoto kazuri kama MJ1 utaringa mpaka tukutambue fuata ushauri mbu, mwaya nyamayao hata mimi nasali hapa iwe Mbu+MJ1= mapacha wote ma she
Sasa Moskwito,
Usheitwain hapo ilikuwa kumfungulisha binti wa watu mtoto wa kike?...........
Anyway, kwa kuwa thread limeshaenda sana na sijui watu wamekushauri nini............ Kwa ushauri wangu, kama una furaha ukiishi singo (mi nilishindwa asee)........nakushauri tafuta binti zalisha yeye totoz za kike/kiume....lea watoto wako......mtiririko wa thread yako unaonyesha unapenda sana mtoto/watoto na siyo mke...... Usioe kwa sababu umeshauriwa....oa kwa kuwa umeamua!
Moskwito mpendwa.....maisha ya ndoa si mchezo kama hujajitolea kwa dhati na kuwa tayari kukubaliana na challenges zake....Kwa umri huu nimeshuhudia mengi katika ndoa za watu.
...dah, nimejichongea nini?
Nadhani kwasasa niyaache kabatini hayo maskeletoni ya ex-wife yapigwe na vumbi :hatari:!
:focus:
Sweetlady, Mimi nataka mtoto wa kike. Hujawahi sikia Sperm Donor?
Hapo chacha kaka Mbu ndo paniangushapo mkosa bahati miye..........labda nkauchonge. Waruhusu wa kuchonga weye? LOL sina mwayego so am out!Duuhh! MwanajamiiOne umepewa kura zote za ndio!
Kwani Una mwanya nawewe? (am joking)
Maty Mbu anataka mwanya......kwa nini hujamwambia we unao?? au nimwambie?Yaani nakwambia ukipata katoto kazuri kama MJ1 utaringa mpaka tukutambue fuata ushauri mbu, mwaya nyamayao hata mimi nasali hapa iwe Mbu+MJ1= mapacha wote ma she