Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

Status
Not open for further replies.
Tupe chanzo na vile vile wewe mleta hii habari ni muongo mkubwa ila ni chuki za kidini zinakusumbua kichwani na kujaribu kukuza usichokijuwa

pole sana na inaelekea wewe ndo Dini inakusumbua. Kabla hujamwita mwenzio muongo embu pitia vyombo kwanza tena anza hiyo Radio Iman maana ndo walianza kutangaza
 
Tupe chanzo na vile vile wewe mleta hii habari ni muongo mkubwa ila ni chuki za kidini zinakusumbua kichwani na kujaribu kukuza usichokijuwa

Mkuu umejiunga lini JF kiasi cha kumkosoa JB??? Unamfahamu vizuri huyo jamaa?? Wakati mwengine ni bora kukaa kimya tu!
 
hilo linawezekana, kama iliwezekana mtu kujiteka mwenyewe ili vurugu zianze kwa nini isiwe hili.
 
hivi makanisa yanahusikaje na mikojo ya mtoto wa kiislamu???

hawa jamaa wanabanduliwa nini??
 
Ebu tueleze huyo mtoto anauhusiano gani na makanisa kutaka kuchomwa?

Hapo zama enzi za utoto wetu, wale wachokozi wakitaka ngumi zipigwe walikuwa wakizua zogo kwa asiyehusika kwa kumsingizia kuwwa; "Jana ulinitukana au kama siyo wewe ni kaka yako"
 
Kijana wa kiislam aliyejulikana kwa jina moja la Farid amefikishwa mahakamani baada ya kukojolea quran na kumvisha paka tasbihi.
Source: wapo radio

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ni paka au mbwa?
 
naanza kuingia wasiwasi are we gt, habari isiyo na uhakika tunaijadili what for?
 
watu wengine wanajifanya wana imani kali wakati matendo yao hayaendani na imani zao wanazofikiri ni bora kuliko za wenzao wameanza kudharauliana wao kwa wao patamu hapo
 
Ahaaa! Wapo radio, nangoja nisikie kwenye vyombo vyengine vya habari, hiyo radio siiamini hata kidogo.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

kama hauiamin wapo radio hakuna chombo cha habari tanzania utakacho kiamin. mia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom