Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

Status
Not open for further replies.
haahhahah..waandamane sasa wakachome misikiti
kwann kinakojolewa sana hicho kitu jaman
nasubiri matamko sasa
 
Hivi kwa nini inapokuja kuhusu Uislamu hata suala dogo tu linakuzwa sana na linapokelewa kwa tahadhari ya hali ya juu?
 
Tupe chanzo na vile vile wewe mleta hii habari ni muongo mkubwa ila ni chuki za kidini zinakusumbua kichwani na kujaribu kukuza usichokijuwa

Unawafahamu wanajf wanaokujaga na habari za jikoni.?
 
Hivi kwa nini inapokuja kuhusu Uislamu hata suala dogo tu linakuzwa sana na linapokelewa kwa tahadhari ya hali ya juu?

kwa sababu ni eneo ambalo matumizi ya akili huwa ni kwa kiwango kidoooogo sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom