Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Fursa adhimu hii...
mkuu mtaje tumshughulikie huyo MHUNI..Wakuu,
Nina mke wangu Nesi,
Wakati anasoma, alisoma na mtoto wa kigogo mmoja mkubwa nchi hii
Sasa sijui hakumwona wakati huo chuoni.. Mimi nimeopoa jiko, nimelitunza, sasa analiona limewiva, anamtongoza kila leo.
Anajua kabisa ni mke wangu. Anamfuata hadi kazini na kumwomba amtoe Lunch.
Em niambieni wakuu, ninunue gun nikamtungue? Au nifanyeje?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu hiyo ni neema aseee.Tena na usawa huu mgumu.Cha muhimu mpange vema mkeo amchune vizuri huku mkichangia papuchi
Ohooooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umejamba hadharani??[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aisee nimecheka mpaka nimepumulia chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi anayofanya sio tatizo, tatizo ni mwanamke mwenyewe kutojitambua, na kutojielewa.Sasa naamini uzi mmoja uliwekwa humu kuwa kuna baadhi ya wanawake wanaofanya kazi fulani hawafai kuwaoa. Uoe at your own risk
1.Askari
2. Walimu
3. Manesi n.k
Kaka vumilia tu umo kwenye kundi baya sana. Pole sana kijana, bahati mbaya tu kwa kuwa huyo ni mtoto wa Kigogo ndiyo maana umepata taarifa.
Kuna msururu umeshapita.