salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
ilinibidi mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji28] [emoji28]Yaani umejamba hadharani??
Sent using Jamii Forums mobile app
ilinibidi mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji28] [emoji28]Yaani umejamba hadharani??
Hakuna kitu kinamshushia hadhi mwanaume kama hiki mkuu..Mfuate jamaa umface directly..uso kwa uso umwambie AMKOME MKEO..
Othewise utakuja kulia humu maana ataamua kumpa tunda tu ili asisumbuliwe.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Bwana Jose umerudi na ID mpya sema uandishi wako haujifichi
Aspirin una matatizo sana weweKuwa makini usije ukaachia haya makitu
![]()
TobaaaMkuu hiyo ni neema aseee.Tena na usawa huu mgumu.Cha muhimu mpange vema mkeo amchune vizuri huku mkichangia papuchi
Sikia Mkuu kwanza hakuna Mwanamke asie CheatKazi anayofanya sio tatizo, tatizo ni mwanamke mwenyewe kutojitambua, na kutojielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaa mkuu...hayo ni mengine sasa tofauti slow motion[emoji276]Kuwa makini usije ukaachia haya makitu
![]()
Nyie wazungu na viingereza vyenu, ndio vinara wa Kumegewa.The power is in your wife's hands.
Finito.
Haihitaji mume kuingilia kati na kuanza kugombana kisa wanaume wanamtaka mke.
Kama anaejielewa she will say NO in such a way that the way she says it? You best believe it will put an end to his lust no matter how rich or connected he may be.
Aisee vipi jamaa yetu, we utakuwa shoga nini?Kwani ulimkuta akiwa Bikira? Miswahili bhana!!!!!!!
Tatizo labda stata yake mbovu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mwenye akili ndogo ni mkeo tu.Nyie wazungu na viingereza vyenu, ndio vinara wa Kumegewa.
Akili za Wanawake hazijawahi kushinda USHAWISHI wa Fedha ama Cheo cha mtu...!
Sent using Jamii Forums mobile app
ugoni wap?? Si mpaka mke akubali?? Nani akubali kujihaibisha kisa pesa na mwanaume mwenyewe choka mbaya. Mwanamke mwenye akili hawezi kufanya huo ujingaMKUU, MTENGENEZEE UGONI, HALAFU MPELEKE MAHAKAMANI UKADAI FIDIA YA BILION 1 (IN WAKILI KARUME VOICE)