Mtoto wa kigogo anammendea mke wangu

Mtoto wa kigogo anammendea mke wangu

Vipi yule housegirl wako wakutoka tanga mkuu.!? Huku housegirl anakutega na huku wife anamendewa.. pambana mkuu..
Housegirl yule ni majaribu. Siku hizi nakaa ofisini hadi mida ya wife kurudi ndo narudi pia. Au narudi usiku mwingi uyo beki akiwa kalala
 
Sasa naamini uzi mmoja uliwekwa humu kuwa kuna baadhi ya wanawake wanaofanya kazi fulani hawafai kuwaoa. Uoe at your own risk
1.Askari
2. Walimu
3. Manesi n.k

Kaka vumilia tu umo kwenye kundi baya sana. Pole sana kijana, bahati mbaya tu kwa kuwa huyo ni mtoto wa Kigogo ndiyo maana umepata taarifa.

Kuna msururu umeshapita.
Niandae talaka nn
 
A. Hakikisha hilo suala.
B. Kama wife ameridhika na kusumbuliwa wakati ameolewa; bas usihangaike. Deal na wife kwanza. Maana yeye sio object. She can decide to stop that.
C. (Optional)-Mimi binafsi niliyejaa roho ya visasi, ningemuweka huyo jamaa kwenye to do list.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nishamuweka tayari
 
Hawa wanawake walivyodhaifu yaan hawachelewi kuhadalika kiufupi the time is now tafta ukwel kwa wife na ikija kutokea jamaa tayar ashaudukua mzigo bas ndo imekula kwako maana niwajuavyo hawa hee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very easy task !
Ukimfata ukamuonya utakuwa umejishusha sana .
Ili dhambi yoyote ikome kanuni kuu alitupa bwana yesu ni iaibishwe ,mpange mkeo mumrecord jamaa na mkeo akimuuliza lakini si unajua mimi mke wa mtu rafiki atatapika pumba kisha record hiyo ,Tafuta wazee wawili wenye hekima watume waende jioni wakaongee na wazazi wake kuwapa onyo la kwanza na la mwisho na wawasikilizishe clip ya maneno ya mtoto wao ndugu kijana lazima pumbuu ziingie ndani
 
The power is in your wife's hands.

Finito.

Haihitaji mume kuingilia kati na kuanza kugombana kisa wanaume wanamtaka mke.

Kama anaejielewa she will say NO in such a way that the way she says it? You best believe it will put an end to his lust no matter how rich or connected he may be.
[emoji106][emoji817]

-Ndumilakuwili-
 
Back
Top Bottom