Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

[emoji23][emoji23][emoji23] bora huyo amejitokeza wazi, as i know zanzibaris hakuna hata mmoja ambae yupo ccm wote ni cuf, ila wanaoneemeka na ccm ndo wanajiita ccm, ila mioyoni mwao ni cuf pure!
 
Hongera yake!
Kila mmoja ana chembe za kaupinzani ndani yake,ila huyu kaamua kuuweka wa kwake wazi...!
 
Hivi mnaifahamu CCM vizuri nyie??????........SHAURI ZENU........
wewe ndio huwajui watanzania. nimeshuhudia wanahangaika kutafuta watu wakugombea uongozi wa ngazi malimbali hawapati. wamebaki wazee tu.
 
Tunaomba tuone na usajili wa Prof Lipumba naye..

Ushauri kwa Cuf Maalim: achaneni na bara huku, huku unafiki ni sehemu ya maisha, pambane muikomboe Zanzibar kwa mkoloni.
Akili yako inawaza nini mkuu
 
2017-06-05 12.36.40.png

Haya mashati mbonaa yanafanana sasa,lipumba na maalim mbona munawachanganya wanachama wa kafu.
 
Back
Top Bottom