Mtoto wa Jk ahitimu Muhimbili

Hongera sana Dr. Salama. She is a descent lady!!! Hongera pia kwa kuweza kumaliza salama hasa kwa kipindi cha mwisho ambacho umekuwa ukilea mwanao mchanga(mjukuu wetu). Kwa yo yo, she is beatful but she is engaged!!!!! Mkwe wetu alikuwa mkristu ilibidi asilimu!!!!! Mfanyabiashara wetu kule........!!!!

Kwa upande mwingine, JK ameonyesha mfano halisi wa uzalendo. Na kam wataenda nje kusomea masters or PhD ni sawa tu kama ambavyo wengine tumefanya hivyo. After all, nafasi ya baba yake kama Rais inaruhusu pia watoto wake wapate exposure, ni jaki yake hata ingekuwa mimi ni Rais ningefanya hivyo. Kwa hiyo sioni hili la kuwapeleka watoto nje kama Rais linahitaji mjadala!!! Pia watoto wake si vilaza,, wana uwezo wa kimasomo hata kama si top vipanga but they are not dully. Hongereni watoto wa mkuu wetu. Salma pia namsifu kwa kuwalea watoto hawa 2 (Riz na Salama) na wote kuweza kufanikiwa kimasomo. Hongera sana mama Salma kwani kulingana na majukumu ya mumeo tangu akiwa waziri basi jukumu la kufuatilia misingi bora ya shule ya watoto wote ulichukua wewe na ukweli wamejitahidi. Unajua tena mambo ya kufuatilia homework, mikutano ya shule, ada, ripoti za hapa na pale, n.k kazi hii kubwa imeachiwa akina mama, japo kwa siku hizi a few a men wanafuatilia maendeleo ya shule za watoto wao.
 
Huyo Mkwe wenu alisilimu kwa kumuogopa Kikwete nini? Duuuuh! I always believe hata uwe maskini vipi, the only thing that u've ni IMANI, ambayo mmeichukua kwa huyo jamaa! He's nothing aiseeeee! Bora mie msalia chini ya miti!
 
kusomesha watoto bongo sio uzalendo wala nini, utakuta ata hao watoto ni jitihada zao wenyewe, hongera wape watoto wake sio yeye

Mkuu F T ni kweli watoto wanajitihada zao na wanastahili pongezi sawa lakini tukubaliane kuwa kwa upande mwingine wazazi wanachangia.
kuna mtu mmoja baada ya kuukwaa uwaziri alihamishia watoto wake ulaya, hata kama hawapendi.
kupata Digrii za Muhimbili ni mbinde, uliza waliopita pale. watoto wengi wa vigogo hawapendi kusoma bongo hasa hizi kozi ngumungumu, angekuwa ameshatafuta sababu na kupelekwa nje.
 
Huyo Mkwe wenu alisilimu kwa kumuogopa Kikwete nini? Duuuuh! I always believe hata uwe maskini vipi, the only thing that u've ni IMANI, ambayo mmeichukua kwa huyo jamaa! He's nothing aiseeeee! Bora mie msalia chini ya miti!

mheshmiwa kwani ukibadili imani unakuwa huna imani?ama uislamu ndio sio imani??
 
Hapana, Mkuu. Tatizo ni kubadilisha imani ( uwe muislamu au mkristu) kwa ajili ya kuoa au kuolewa. Imani haitakiwa kuwa kama nguo. Inastahili heshima zaidi.
 
Hongera sana Dr. Salama. She is a descent lady!!! Hongera pia kwa kuweza kumaliza salama hasa kwa kipindi cha mwisho ambacho umekuwa ukilea mwanao mchanga(mjukuu wetu). Kwa yo yo, she is beatful but she is engaged!!!!! Mkwe wetu alikuwa mkristu ilibidi asilimu!!!!! Mfanyabiashara wetu kule........!!!!
Hivi ukimaliza Muhimbili Degree tayari unakuwa Doctor?

Kumbe jamaa keshawahi na kurutubisha kabisa......walifunga ndoa????
 
Kweli Salama anastahili pongezi sana tu na kumshukuru sana muumba wake kwa kuwa alipofikia na mtoto wa mwenye nchi pia, ilikuonyesha uzalendo wa kweli usiokuwa na kaunafiki itakuwa vizuri sana kama atapangiwa kazi Ileje kulee.... mlimani kituo cha afya hakina umeme, maji ni yakisima magari hayafiki (labda yatembee kiupande-upande) na hiyo kazi aikubali na tutangaziwe tena kuwa kweli JMK mzalendo, kamruhusu mwanae kwenda kule!!

Mkuu,

Kwani ni lazima ufikirie kuwa aajiriiwe na serikali? Akifungua kituo cha afya Dar na akatoa huduma hautakuwa uzalendo (kama ndo tafsiri yenyewe?)

Hongera sana Salama (Dr).
 
kwa wale wanaomwangalia Binti Salama Kikwete kwa jicho la uzuri wake, wajue tu kuwa huyu ni mke wa mtu.

Kama sijasahau aliolewa mwaka jana baada ya kupewa mimba na akiwa bado chuoni. Kwa taarifa nilizonazo aliyomwoa ni mfanyabiashara fulani na wanaishi pale pembeni ya muhimbili kwenye jengo moja refu linaitwa Richmond tower.

Kwa vile binti alikoroga nadhani ndio maana hatujasikia habari ya harusi yake kwenye media kama ilivyokuwa kwa Ridhiwani.

Ameolewa na tayari ana mtoto. Be informed.
 
Jamaa nadhani hajaoa bado kiislamu. Kwani alikuwa akifahamika kama Albert M. Ni mtoto wa Upanga na mjini sana huyu jamaa rafiki mkubwa wa marehemu Ippi malecela. Na ni mtu wa dili sana huyu jamaa anaoa li pre plan kabla haja date mtoto wa mzee . Aliangalia channel zaidi.
 
JK ni mzalendo wa kiukweli maana hata yule wa kwanza amemaliza sheria UDSM.
Zaidi ya uzalendo watoto ni uthibitisho degree ya JK ya UDSM ni ya kiukweli.kuna viongozi wana degree za kupewa too, utawajua maana machoni wanaonekana wajinga wajinga.

Kusoma Tanzania au kusomesha watoto Tanzania sio kigezo cha kupima uzalendo. kuna mamabo mengi tu yanayohitajika kukamilika kabla ya ju generalise kuwa huyu ni mzalendo. Unless una definition tofauti ya neno uzalendo. Na wala si kweli kuwa kusomesha watoto nje ya nchi au mtu kusoma nje ya Tanzania then sio mzalendo.

Ingawa ni kielelezo kizuri kwa viongozi.
 
mhm! huu uroho sasa subirini hata asikie harufu za midomo yetu yenye meno mapovu
 
Waziri wa Afya in the making? Sitashangaa nikiskia yuko BOT pia!
Kamtaji kangu naona nikatumie kufungua dental surgery kwa kuwa wabongo ninavyowajua nitawapata kwa sana nikimuajiri huyu binti, nani asiyetaka kung'olewa jino na binti wa Rais?
 
Huyu atakuja pewa uwaziri na Rais to be elected 2015 - Bernard Membe, kama shukrani ya baba yake kumuibua Membe. Dr. Hussein Mwinyi nae alimaliza hapo hapo ona leo alipofika. Ndiyo maana Mzee Mwinyi anacheeeeka, maana anajua few years ago nae alitoa shada la maua kama hilo hapo hapo MUHAS , former MUCHS
 
Watanzania mmefaulu mtihani wa Utanzania! Mkuu Hofstede heshima kede kede!
 
Huyu atakuja pewa uwaziri na Rais to be elected 2015 - Bernard Membe, kama shukrani ya baba yake kumuibua Membe. Dr. Hussein Mwinyi nae alimaliza hapo hapo ona leo alipofika. Ndiyo maana Mzee Mwinyi anacheeeeka, maana anajua few years ago nae alitoa shada la maua kama hilo hapo hapo MUHAS , former MUCHS

Vicious cycle...! Nifae nikufae. Kama mbio za kupokezana vijiti vile....LOL!
 
Ni viongozi wangapi wanasomesha hapa?? Kumbuka JK alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka kumi, walioshika wadhifa huo wengo walipeleka watoto wao nje, Mabalozi wote huko nje wanajibu kwake kwa nini wasimtunze mtoto wa mzee???
Kuna kauzalendo na vipimo vya elimu ya kweli wengi wanadhani ukija unatafuna kiingereza ndio kusoma. Waulize hicho chuo anasoma huko ni kipi?? atakutajia kachuo kaajabu ajabu. Ukienda huko kuangalia unacheka tu??? Mradi anapanda ndege kwenda shule anafoleni pale high Commission kutafuta visa basi huyo ndio mwenyewe!!!!!!! ni ushamba unatusumbua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom