mhimidinhothedon
Member
- Jan 5, 2014
- 69
- 22
Pawa benki
Ahsanta kwani ilmu hiiHiyo ni dawa ili asishtuke shtuke au kulia lia.
Niliambiwa inawekwa bangi,kitunguu swaumu na mavi ya tembo na mvuje (siujui)
Kinachofanya asishtuke ni mchanganyiko wa vilivyoweka akilala mkono unakua karibu na pua anakua anavuta harufu inamlewesha analala vizuri sana.
Huwa na nguvu zaidi siku za mwanzo baadae dawa inaisha nguvu kinabadilishwa.
Sina ushahidi ni simulizi tu niliipata vijijini huko Muheza.
Kwa hiyo kumbe wewe ni mchawi kabisa kwa kuamini kuwa wote ni wachawi! !! Pole sana mchawi...!!mnafiki mkubwa wewe ile dawa mliyoogeshwa umeisahau na ile mlokunywa je nayo umeisahau pi? Hakuna asiyezindikwa duniani ila ujanja ndiyo watu hutofautiana kuficha siri zao kuna hana hata chale moja wala hirizi lakini halogwi ng'oooo hata siku moja na anaweza kukuhadaa yeye ni mtumishi wa mungu ndiyo maana hana chale na wewe ukimuamini utakufa kwa kulogwa na utamwacha kumbuka hata mussa alilogwa lakini fimbo yake ilimsaidia unadhani fimbo ni nini katika ulimwengu wa leo?????