Watu wakigoma wanaimani hizo sana nliwahi safiri kwa gari hadi kigoma watoto wote kwenye hilo gari walikuwa wamefungwa kiuzi cheusi mkononi na kiunoni hadi leo sikuwahi kujua ina maana gani
Hiyo ni hirizi. Ni imani za kichawi na kishirikina kabisa. Wapo watanzania wengi sana bado wapo kwenye hizo imani za hirizi, kuchanjwa chale, Kutambika, kuamini nyota nk, halafu utawakuta mitaani, misikitini, Makanisani, Mitandaoni wakisema wanachukia uchawi sana, wanaogopa Freemason, hawajawahi kwenda kwa waganga nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.