Mtoto wa Diamond na kitu cheusi mkononi..

kwenye family yetu hatujawahi kuvishwa hirizi wala vitambaa vyeusi ila tumekua vzuri tu. Imani nyingine bwana only god can protect

mnafiki mkubwa wewe ile dawa mliyoogeshwa umeisahau na ile mlokunywa je nayo umeisahau pi? Hakuna asiyezindikwa duniani ila ujanja ndiyo watu hutofautiana kuficha siri zao kuna hana hata chale moja wala hirizi lakini halogwi ng'oooo hata siku moja na anaweza kukuhadaa yeye ni mtumishi wa mungu ndiyo maana hana chale na wewe ukimuamini utakufa kwa kulogwa na utamwacha kumbuka hata mussa alilogwa lakini fimbo yake ilimsaidia unadhani fimbo ni nini katika ulimwengu wa leo?????
 
Unaacha kujiuliza maswali kuhusu familia yako unauliza habari za watu zinakuhusu nini!

Braza nahis hujawahi kukaa mbele ya watu wakakutazama... Mond ni public figure mda mwingine
 
mnafiki mkubwa wewe ile dawa mliyoogeshwa umeisahau na ile mlokunywa je nayo umeisahau pi? Hakuna asiyezindikwa duniani ila ujanja ndiyo watu hutofautiana kuficha siri zao kuna hana hata chale moja wala hirizi lakini halogwi ng'oooo hata siku moja na anaweza kukuhadaa yeye ni mtumishi wa mungu ndiyo maana hana chale na wewe ukimuamini utakufa kwa kulogwa na utamwacha kumbuka hata mussa alilogwa lakini fimbo yake ilimsaidia unadhani fimbo ni nini katika ulimwengu wa leo?????

Poor reasoning capacity unachoamin wew unafikiri kila MTU anaamin?!!!!
 
Ukipata mtoto ndio utajua wala si ajabu watanzania wengi huvushwa hivo ata ww uliveshwa

Sio Watanzania wengi, sema waamini ushirikina wengi. Sijui kitovu kisagwe kifinyangwe blah blah blah ni nini kama sio ushirikina?
Remote ukipata mtoto usimvishe sihiri, hiyo ni namna ya kumuunganisha na ulimwengu wa roho chafu a.k.a mapepo. Mkabidhi mwanao kwa Yesu kamwe hatohitaji kuvaa mahirizi
 
Last edited by a moderator:
mnafiki mkubwa wewe ile dawa mliyoogeshwa umeisahau na ile mlokunywa je nayo umeisahau pi? Hakuna asiyezindikwa duniani ila ujanja ndiyo watu hutofautiana kuficha siri zao kuna hana hata chale moja wala hirizi lakini halogwi ng'oooo hata siku moja na anaweza kukuhadaa yeye ni mtumishi wa mungu ndiyo maana hana chale na wewe ukimuamini utakufa kwa kulogwa na utamwacha kumbuka hata mussa alilogwa lakini fimbo yake ilimsaidia unadhani fimbo ni nini katika ulimwengu wa leo?????

Eti hakuna asiye zindikwa duniani hivi wewe kwa akili yako unafikiri watu wote wanaamini ktk mambo kama hayo mf.mimi nina watoto wangu hakuna aliye wahi kwenda hata kwa mganga wa kienyeji na sitegemei kwenye familia yangu kamanitafika kwa mganga wa kienyeji
 
Unakuta mtu anaumwa tumbo wanamwekea hirizi sijui kuumwa tumbo "ndani" kuna husiana na nini hirizi "nje"
 
mnafiki mkubwa wewe ile dawa mliyoogeshwa umeisahau na ile mlokunywa je nayo umeisahau pi? Hakuna asiyezindikwa duniani ila ujanja ndiyo watu hutofautiana kuficha siri zao kuna hana hata chale moja wala hirizi lakini halogwi ng'oooo hata siku moja na anaweza kukuhadaa yeye ni mtumishi wa mungu ndiyo maana hana chale na wewe ukimuamini utakufa kwa kulogwa na utamwacha kumbuka hata mussa alilogwa lakini fimbo yake ilimsaidia unadhani fimbo ni nini katika ulimwengu wa leo?????

We we ibilisi usiye na mkia nikome kabisa unafiki wangu wakuwashia nini mwanga wa njia panda we we.
Kumbe unaogeshwaga dawa heeh wengine no chale no vihirizi na tunanawiri tu ingekua hirizi zinasaidia baadhi ya mikoa basi wangekua mbali.
Hafu jifunze kuheshimu maoni ya wengine ibilisi wewe
 
Back
Top Bottom