Hiyo ni hirizi. Ni imani za kichawi na kishirikina kabisa. Wapo watanzania wengi sana bado wapo kwenye hizo imani za hirizi, kuchanjwa chale, Kutambika, kuamini nyota nk, halafu utawakuta mitaani, misikitini, Makanisani, Mitandaoni wakisema wanachukia uchawi sana, wanaogopa Freemason, hawajawahi kwenda kwa waganga nk.